Category Archives: News and Events

INVITATION FOR TENDER

I FOR THE PROVISION OF COMPLETE SOLAR POWER SYSTEM DATA PACKAGE TO CHRISTIAN COUNCIL OF TANZANIA-CCT The Christian Council of Tanzania CCT is a faith based organization made up of 13 Christian denominations. CCT has over fifty years operational experience on empowering communities in economic, social, health and climate change mitigation and adaptation (in agriculture, energy etc) to many parts of Tanzania. In Tanzania, the energy sector is striving to reach as many household as possible because power is for

MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA DINI KUHUSU UKIMWI NA UNYANYAPAA.

Mkutano wa viongozi wa dini kuhusu UKIMWI na unyanyapaa umefanyika Tar 19-20 February 2020 katika ukumbi wa Mount Meru Hotel Jijini Arusha Kwa nini unyanyapaa: unyanyapaa ni hali ya kutengwa au kubaguliwa kwa sababu ya hali fulani au ugonjwa mbaya  uliompata mtu. Hali ya unyanyapaa husababishwa na hofu ya jamii kuhusu matokeo ya hali hiyo kwa wengine na hasa kwa kukosa taarifa sahihi kuhusu tatitzo husika na athari yake kwa wengine. Jinsi ya kukabiliana na unyanyapaa: 1.         Kuwa na program

CCT yazindua mradi wa kilimo cha umwagiliaji Kongwa

Tarehe 11 /10/209 Jumuiya ya Kikrito Tanzania (CCT) ilizindua mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa wanavikundi vya pamoja katika kijiji cha Laikala wilayani Kongwa. Mradi huu umehusisha uchimbaji wa kisima kinachoweza kuzalisha maji lita elfu kumi na nane kwa saa, kuweka pump kwa ajili ya kupeleka maji kwenye eneo la umwagiliaji umbali wa kilometa moja na nusu na kuweka miundo mbinu ya umwagiliaji. Eneo la umwagiliaji lina ukubwa wa ekari arobaini. Ambapo wanavikundi wa Pamoja wanategemea kulima mboga mboga na

« Older Entries