Category Archives: slider

HOW CCT IR-VICOBA TRANSFORMED LIVELIHOODS IN GEITA DISTRICT

CCT PME Officer Mr. Urio Ndekirwa Gabriel and his team visited Geita for monitoring visit on IR VICOBA. There are almost 109 IR VOCOBA in Geita District. Among of them, 70 groups have a group network called (DIRVA). In Geita mostly IR VICOBA groups have adopted a new technology of take care of group money whereby they are controlled electronically (M-COBA). Success stories The following are some of the success stories captured during the monitoring The IR VICOBA Groups network

PATANO LA VIONGOZI WAKUU WA MAKANISA WANACHAMA WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA KUHUSU NAFASI YAO KATIKA KUPAMBANA NA UGONJWA WA “COVID -19”

JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA PATANO LA VIONGOZI WAKUU WA MAKANISA WANACHAMA WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA KUHUSU NAFASI YAO KATIKA KUPAMBANA NA UGONJWA WA “COVID -19” Sisi viongozi wakuu wa Makanisa 13 wanachama wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania, katika kikao cha kutafakari nafasi yetu katika kupambana na tatizo la virusi vya korona, siku ya tarehe 29.04.2020, tumekubaliana kwa pamoja kufanya kama ifuatavyo: KUIMARISHA HUDUMA MAKANISANI/WAJIBU WA WATUMISHI WA MUNGU Kutilia mkazo maombi kama  jambo la kwanza, ili Mungu atupe namna

CCT attended International Women’s Day in Simiyu Region March 08, 2018,

The international Women’s Day in Tanzania was launched by retired Speaker of the Parliament of Tanzania Anne Makinda in Dodoma  Region with a slogan A NATION-BASED POPULATION FOR TANZANIA DEVELOPMENT TODAY AND AFTER Dodoma. CCT was a member of preparing the events. CCT also participated in the celebration of the International Women’s Day from 3rd to March 08th 2018. Nationally it was celebrated in Simiyu Region.  The day was commemorated by women from various sectors who gathered together and portrayed

Consultative meeting between CCT,TEC,CPCT,SDA,TCD and National Electional Commission

CCT facilitated a high level consultative meeting between Christian Forum (TEC,CPCT,SDA and CCT ) and Tanzania centre for Democracy (TCD) and National Election Commission on 11th March 2020 to get Updates from the political parties and electoral commission on general election 2020 .The meetings highlighted the role religious leader can play to ensure free,fair,credible and peaceful elections

MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA DINI KUHUSU UKIMWI NA UNYANYAPAA.

Mkutano wa viongozi wa dini kuhusu UKIMWI na unyanyapaa umefanyika Tar 19-20 February 2020 katika ukumbi wa Mount Meru Hotel Jijini Arusha Kwa nini unyanyapaa: unyanyapaa ni hali ya kutengwa au kubaguliwa kwa sababu ya hali fulani au ugonjwa mbaya  uliompata mtu. Hali ya unyanyapaa husababishwa na hofu ya jamii kuhusu matokeo ya hali hiyo kwa wengine na hasa kwa kukosa taarifa sahihi kuhusu tatitzo husika na athari yake kwa wengine. Jinsi ya kukabiliana na unyanyapaa: 1.         Kuwa na program

BISHOPS WIVES FROM THE CCT MEMBER CHURCHES IN THE TRAINING ORGANISED BY THE CCT MOROGORO WOMEN CENTRE IN MOROGORO ON 24th – 29th November 2019

Introduction There was a need for the Bishops wives to understand the concept of Gender Based Violence, conflict management, leadership skills, and prayer as one of the weapon to fight against Gender Based Violence. The training was organized by the CCT Morogoro Women Centre on 24th – 29th November 2019. Only 20 Bishops wives from just a few selected Dioceses of the Anglican Church, Evangelical Lutheran Church, Mennonite Church, African Inland Church, Church of God, and Moravian Church participated in

SEMINAR FOR WIDOWS FROM CCT MEMBER CHURCHES IN MOROGORO REGION HELD AT MWTC FROM 26TH – 30TH NOVEMBER, 2018

Morogoro Women Training Centre (MWTC) invited 30 widows from member Churches of CCT in Morogoro to the five day seminar which was held at the Centre from 26th to 30th November 2018. The twin goals of the seminar were: To reduce income poverty among the widows; To empower the widows to advocate for and demand their legal rights as widows and women in general. Specific Objectives: Equip them with skills in manufacturing simple but marketable domestic and industrial products. Broaden

CCT yazindua mradi wa kilimo cha umwagiliaji Kongwa

Tarehe 11 /10/209 Jumuiya ya Kikrito Tanzania (CCT) ilizindua mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa wanavikundi vya pamoja katika kijiji cha Laikala wilayani Kongwa. Mradi huu umehusisha uchimbaji wa kisima kinachoweza kuzalisha maji lita elfu kumi na nane kwa saa, kuweka pump kwa ajili ya kupeleka maji kwenye eneo la umwagiliaji umbali wa kilometa moja na nusu na kuweka miundo mbinu ya umwagiliaji. Eneo la umwagiliaji lina ukubwa wa ekari arobaini. Ambapo wanavikundi wa Pamoja wanategemea kulima mboga mboga na

UWAKALA WA BIMA

HABARI NJEMA Jumuiya ya Kikristo Tanzania katika muendelezo wa mpango wake wa kujitegemea kiuchumi, imeanzisha Mradi wa Uwakala wa Bima kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwa jina la CCT INSURANCE AGENCY, ulioanza  Desemba 2018. Mradi huu unaendeshwa kutoka Makao Makuu CCT Dodoma na katika ofisi  zinazofunguliwa  nchini kote chini ya Uongozi wa CCT Mikoa. Hivyo ukiwa kama mdau muhimu kwetu unakaribishwa sana kupata huduma zote za Bima, kwa haraka, ubora na uhakika. HUDUMA ZETU Zifuatazo ni Bima zinazotolewa

« Older Entries