Chaplain wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu – Mkwawa asimikwa rasmi

Ask Dkt. Elimikisa Cheyo – Mwenyekiti wa CCT akiwaombea Mchg. Sifuni na Mke wake baada ya kuingizwa kazini (Chaplain wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu – Mkwawa) . Aliyesimama ( mwenye MIC) ni Mchg. Daud Kalinga – Mkurugenzi wa Missions na Uinjilisti CCT

Leave a Reply