CCT

Kazi za ufuatiliaji wa mradi wa Tuwajibike Tar 16 Oct. 2025

Kazi za ufuatiliaji wa mradi wa Tuwajibike zikiendelea katika Mikoa ambako mradi unatekelezwa (Kigoma(DC), Dodoma (Bahi), Shinyanga (Kishapu), Tabora(Nzega) na Pwani (Kibiti)). Wanakamati wa MURU wanaeleza namna ambavyo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kuhamasisha wanajamii kushiriki mikutano mbalimbali ya Kijiji, kufuatilia rasilimali za umma kukuza uwazi, uwajibikaji na kuhimiza wanachi kushiriki katika kupanga, kutekeleza, kusimamia […]

Kazi za ufuatiliaji wa mradi wa Tuwajibike Tar 16 Oct. 2025 Read More »

Katibu Mkuu CCT, amefanya ziara katika Jengo la Kitega Uchumi Tar 13 Okt 2025

Katibu Mkuu wa CCT, Mchg Can Dkt Moses Matonya amefanya ziara katika Jengo la Kitega Uchumi la CCT Commercial Complex Jijini Dodoma, Katika ziara yake Katibu Mkuu wa CCT amesisitiza dhamira ya kukamilisha ujenzi kwa wakati na kwa ubora unaoakisi maono ya maendeleo ya CCT. Ziara hii imelenga kuhamasisha uwajibikaji na ili mradi huu uwe

Katibu Mkuu CCT, amefanya ziara katika Jengo la Kitega Uchumi Tar 13 Okt 2025 Read More »

CCT kupitia mradi wa Tuwajibike imetoa mafunzo ya MURU Kwa viongozi wa kamati za ufuatiliaji wa rasilimali za Umma

CCT kupitia mradi wa Tuwajibike imetoa mafunzo ya MURU Kwa viongozi wa kamati ya uhamasishaji wa maendeleo na ufuatiliaji wa rasilimali za umma kwa Mikoa ambako mradi unatekelezwa. MURU ni Mfumo wa Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma unaojulikana kwa lugha ya Kiingereza kama Public Expenditure Tracking Systems or Surveys (PETS) ambao ni dhana ya ufuatiliaji

CCT kupitia mradi wa Tuwajibike imetoa mafunzo ya MURU Kwa viongozi wa kamati za ufuatiliaji wa rasilimali za Umma Read More »

KIKUNDI CHA KUWEKA NA KUKOPA CHAFIKA SHULENI KUTOA MSAADA

Kikundi cha Amani kilianza mwaka 2010 kikiwa na wanachama 30 hadi sasa kina wanachama hai 25Anasimulia mwenyekiti wa kikundi hicho Marry Chacha oringa, Tulianza kuweka na kukopa, tulikuwa na masha duni, tulipopata elimu ya vikoba, tulianza kuweka na kukopa kidogo dogo kupitia biashara zetu ndogondogo.Kuanzia mwaka 2022 tulianza kuona mabadliko baada ya kuanzisha mradi wa

KIKUNDI CHA KUWEKA NA KUKOPA CHAFIKA SHULENI KUTOA MSAADA Read More »

MAPATANO YA MKUTANO MKUU WA 32 WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) – TAREHE 4/7/2025

1. Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kupitia Mkutano wake Mkuu wa 32, tumepatana kwamba, hatufungamani na itikadi yoyote bali umoja wetu ni Mwili wa Kristo unaoongozwa na misingi ya Kibiblia kwa kufuata imani na kutii sauti ya Roho Mtakatifu katika Yesu Kristo. Na kwa msingi huo linapaswa kusimamia misingi ya Upendo, Haki, Ukweli, Utu wa

MAPATANO YA MKUTANO MKUU WA 32 WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) – TAREHE 4/7/2025 Read More »

Maombi ya dunia Kitaifa Mkoani Tabora 2025

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania-CCT Askofu.Dkt.Fredrick Shoo pamoja na Katibu Mkuu wa CCT Mch.Canon.Dkt. Moses Matonya wameshiriki Maombi ya dunia Kitaifa Mkoani Tabora,maombi hayo yameratibiwa na Idara ya Maendeleo ya Wanawake,Watoto na Jinsia -CCT kwa kushirikiana na kamati ya Wanawake CCT Mkoa wa Tabora. Katika maombi hayo Mwenyekiti wa CCT amewapongeza CCT Mkoa wa

Maombi ya dunia Kitaifa Mkoani Tabora 2025 Read More »

Scroll to Top