Category Archives: News and Events

Semina kwa wanafunzi wa kike USCF Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ya kuwajenga wanafunzi hao kujua nafasi zao na Kuelewa kusudi la Mungu katika maisha yao

Semina kwa wanafunzi wa kike USCF Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ya kuwajenga wanafunzi hao kujua nafasi zao na Kuelewa kusudi la Mungu katika maisha yao. Ambapo wamefundishwa kuelewa nafasi zao katika maisha yao( kuelewa yeye kama binti ni nani?) pia wamefundishwa namna ya ya kutambua nafasi zao Kibibilia. Esther Muhagachi ni mratibu wa mradi wa kuwawezesha wanawake na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia CCT ambapo amewasihi wanafunzi wa kike kujua kusudi la Mungu katika maisha yao. Kuna utofauti

IBADA ILIYOANDALIWA NA CCT YA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTUFIKISHA MWAKA 2021

Leo tarehe 8/1/2021 CCT Makao makuu Dodoma tumefanya ibada maalumu ya kumshukuru Mungu kwa kutuvusha salama mwaka 2020 na kutufikisha salama mwaka 2021. Tuliongozwa na Zaburi 136:1-4,23-26. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele……….”Ibada hii imeongozwa na mchg David Kalinga na mnenaji wa neno akiwa Mchg Modest Pesha. Ibada iliambatanishwa na Ibada ya ushirika Mtakatifu na kutoa sadaka ya shukurani ikiwa ni pamoja na kutoa vitu mbalimbali kama nguo, viatu nk. Sadaka hiyo itaelekezwa

CCT YAFANYA MAANDAMANO YA KUPINGA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA

 Leo ni siku ya saba(7) ndani ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. CCT kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa wametoa elimu ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi wa shule ya msingi Ilolo na kwa  wazazi wa eneo hilo.  Mratibu wa Mradi wa mwanamke Jasiri(CCT) Mkoa wa Dodoma , Dada Elizabeth Ngede ametoa ufafanuzi wa kazi zinazotekelezwa na CCT ikiwemo kupinga vitendo vya ukatili wa Kijinsia. Naye Afisa maendeleo H/Wilaya Mpwapwa Dada Sky Thomas amesisitiza wazazi

KONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI JUU YA USAWA KWA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI

Kongamano la Viongozi wa dini mbalimbali linalowahusisha TEC,CCT &BAKWATA juu ya usawakatika huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo huduma za Bima ya afya, ulipaji kodi, elimu, uchumi n.k Baadhi ya wajumbe wakiongoza mjadala wa nini kifanyike kuhakikisha watu wote wanapata huduma kwa usawa, hususani kulinganisha huduma za kijamii kwa walioko vijijini na mjini Kongamano hili limehudhuliwa na wawakilishi wa makatibu wakuu wa TEC,CCT &BAKWATA Dr. Camillius D.N Kassala TEC  Bi. Clotilda Ndezi CCT Shk Mohamed Khamis Said BAKWATA Baadhi ya washiriki

SOLAR CHURCHES PROJECT- CHRISTIAN COUNCIL OF TANZANIA 2020-2023

1.why do we need this intervention? Most churches in the selected rural areas cannot meet their power requirements for lighting, heating, and cooling due to high electricity bills There is lack of clean light at homes and schools and that makes people more poor insecurity of students and their properties that Cause to so many rape cases, and theft the Health Facilities suffer with shortage of power that increase inefficiency CCT therefore seeks to respond to the identified electrification problem

A new Norwegian Church Aid (NCA) Country Director in Tanzania

A new Norwegian Church Aid (NCA) Country Director in Tanzania Miss Paulina visited Christian Council of Tanzania (CCT) Offices in the Capital City, Dodoma, November 29, and attended a morning prayer before conducting a meeting for Working the Giant Initiative.NoteNorwegian Church Aid (NCA) is a diaconal organization mandated by churches and Christian organizations in Norway to work with people around the world to eradicate poverty and injustice. In Tanzania, NCA works mainly with Faith Based Organizations to uphold human dignity,

WARSHA YA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE WALIOGOOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KATIKA UCHAGUZI MKUU – 2020 KATIKA MKOA WA SONGWE

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (C.C.T) kupitia Mradi wa Mwanamke Jasiri kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Norway (NORAD) iliandaa Warsha ya Wanawake kutoka katika vikundi vya Wanawake Wajasiriamali kutoka katika Halmashauri za Wilaya Mbozi, Ileje, Momba pamoja Halmashauri ya Mji wa Tunduma waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 Mkoani Songwe. Warsha ilifanyika katika ukumbi wa Kal (Kal Hall) uliopo Vwawa Wilayani Mbozi. MALENGO YA WARSHA Malengo ya Warsha yalikuwa yafuatayo:- Kuwaelimisha juu ya

Warsha ya kuwajengea uwezo wanawake waliothubutu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Mkoa wa Dodoma.

Warsha ya kuwajengea uwezo wanawake waliothubutu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Mkoa wa Dodoma. Lengo kuu ni kuwaelimisha juu ya sheria na Utaratibu wa kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi na changamoto za wanawake kushiriki katika chaguzi. Pia Kuelimishwa juu ya kukabiliana na changamoto za kibiashara kwa vikundi vya wanawake.  Mafunzo haya yamezinduliwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  Mchungaji Canon Moses Matonya na  kuhudhuliwa na  viongozi mbalimbali toka CCT akiwemo Afisa Utawala na Rasilimali watu

« Older Entries