Category Archives: Church Updates

SOLAR CHURCHES PROJECT- CHRISTIAN COUNCIL OF TANZANIA 2020-2023

1.why do we need this intervention? Most churches in the selected rural areas cannot meet their power requirements for lighting, heating, and cooling due to high electricity bills There is lack of clean light at homes and schools and that makes people more poor insecurity of students and their properties that Cause to so many rape cases, and theft the Health Facilities suffer with shortage of power that increase inefficiency CCT therefore seeks to respond to the identified electrification problem

UWAKALA WA BIMA

HABARI NJEMA Jumuiya ya Kikristo Tanzania katika muendelezo wa mpango wake wa kujitegemea kiuchumi, imeanzisha Mradi wa Uwakala wa Bima kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwa jina la CCT INSURANCE AGENCY, ulioanza  Desemba 2018. Mradi huu unaendeshwa kutoka Makao Makuu CCT Dodoma na katika ofisi  zinazofunguliwa  nchini kote chini ya Uongozi wa CCT Mikoa. Hivyo ukiwa kama mdau muhimu kwetu unakaribishwa sana kupata huduma zote za Bima, kwa haraka, ubora na uhakika. HUDUMA ZETU Zifuatazo ni Bima zinazotolewa