Category Archives: Press Releases

PATANO LA VIONGOZI WAKUU WA MAKANISA WANACHAMA WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA KUHUSU NAFASI YAO KATIKA KUPAMBANA NA UGONJWA WA “COVID -19”

JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA PATANO LA VIONGOZI WAKUU WA MAKANISA WANACHAMA WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA KUHUSU NAFASI YAO KATIKA KUPAMBANA NA UGONJWA WA “COVID -19” Sisi viongozi wakuu wa Makanisa 13 wanachama wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania, katika kikao cha kutafakari nafasi yetu katika kupambana na tatizo la virusi vya korona, siku ya tarehe 29.04.2020, tumekubaliana kwa pamoja kufanya kama ifuatavyo: KUIMARISHA HUDUMA MAKANISANI/WAJIBU WA WATUMISHI WA MUNGU Kutilia mkazo maombi kama  jambo la kwanza, ili Mungu atupe namna

UWAKALA WA BIMA

HABARI NJEMA Jumuiya ya Kikristo Tanzania katika muendelezo wa mpango wake wa kujitegemea kiuchumi, imeanzisha Mradi wa Uwakala wa Bima kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwa jina la CCT INSURANCE AGENCY, ulioanza  Desemba 2018. Mradi huu unaendeshwa kutoka Makao Makuu CCT Dodoma na katika ofisi  zinazofunguliwa  nchini kote chini ya Uongozi wa CCT Mikoa. Hivyo ukiwa kama mdau muhimu kwetu unakaribishwa sana kupata huduma zote za Bima, kwa haraka, ubora na uhakika. HUDUMA ZETU Zifuatazo ni Bima zinazotolewa

New CCT General Secretary

Rev. Canon Moses Matonya

Rev. Canon Moses Matonya was born on September 25, 1964 in Ikowa village in Dodoma Tanzania, being the third born out of five children of Rosemary. His father, Matonya Makunzo, passed away in 2006 leaving three wives and nineteen children.  Rev. Moses has been a full time ordained minister with the Anglican Diocese of Central Tanganyika in Dodoma since November 1993. He is married to Ruth and they are blessed with five children, three daughters and two sons.  Currently, he

CSSC General Election Observation Report- 2015

The 2015 General Elections Observation Mission could not have been a success without cooperation from the Tanzania Christian Forum (TCF) to whom we are sincerely indebted. Specifically, we would like to express our sincere gratitude to all Bishops and Heads of Ministries from CCT, CHARISMATIC, CPCT and TEC for their readiness to provide us the volunteers without whom the Observation Mission’s work would have been impossible to carry out. See the whole report below

Tamko la Viongozi wa Dini 17.09.2015

Religious Leaders at Blue Pearl Hotel on Freedom, Justice & Peace

TAMKO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU UHURU, HAKI NA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU LEO TAREHE 17.09.2015 Sisi, viongozi wa dini pamoja na taasisi zinazosimamia mchakato wa uchaguzi (NEC,TAKUKURU,Polisi pamoja na Msajili wa vyama vya siasa)  tuliokutana leo tarehe 17/9/2015, tumepata nafasi ya kujadili kwa kina suala la uhuru,haki na amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika 25/10/2015 na wajibu wa kila mdau kuhakikisha kuwa uhuru,haki na amani vinalindwa kipindi hiki.Suala la uhuru haki na amani ni wajibu wetu sisi viongozi wa dini

Civil Society Comments on the Proposed Revenue Management Act 2015

Minister of Finance Saada Mkuya, her two deputies in the background

 CIVIL SOCIETY COMMENTS ON THE PROPOSED REVENUE MANAGEMENT ACT 2015  Dodoma, June 24 2015 Part Section Key  Issues Concern CSO Recommendation   II   4. Functions of the Minister Although this is set out as ‘functions’. This could be strengthened. A stronger language would responsibilities and obligations. The “Minister is responsible for overall management for the Fund”.     5 Timing of reporting The timing not specified,  Insert a provision that reads “the report on the performance shall be published

Extractive Industries Related Bills: The Tanzania CSO Extractive Industry Working Group Position

Extraction

In June 16th of 2015, the Government of Tanzania tabled before the parliament three bills related to extractive industries among others under certificate of urgencies. The bills are: The Tanzania Extractive Industries (Transparency and Accountability) Act 2015, The Oil and Gas Revenue Management Act 2015 and the Petroleum Act 2015. To this effect, We the undersigned Civil Society Organizations (CSOs) upon receiving the copies convened and deliberated on the bills in Dares Salaam from June, 21-23rd, 2015 aiming at providing

« Older Entries