Maendeleo na Utetezi

Maendeleo na Utetezi

Mafunzo ya Ushauri nasaha kwa wanafunzo Tar 11 Mei 2014

Mafunzo ya kutoa Ushauri nasaha kwa wanafunzo wenye changamoto mbalimbali shuleni (Career Guidance and Counseling) yametolewa kwa siku mbili jijini Arusha ambapo zaidi ya walimu 60 kutoka shule zilizoko chini ya makanisa wanachma CCT wameshiriki. Mafunzo yalifunguliwa na Baba Askofu Stanley Hotay, ambaye ni Makamu wa kwanza wa Mwenyekiti wa CCT.

Mafunzo ya Ushauri nasaha kwa wanafunzo Tar 11 Mei 2014 Read More »

Warsha ya kuandaa Mpango Mkakati wa CCT (2024-2028)

Warsha ya kuandaa Mpango Mkakati wa miaka mitano (2024-2028)ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imeanza leo Jijini Arusha. Neno la ufunguzi limetolewa na Katibu Mkuu wa CCT Mchg Dkt. Canon Moses Matonya. Mathayo 16:15, Luka 14:29 na Wagalatia 6:14 Warsha hii inafanyika kwa siku nne kuanzia tarehe 9/10/2023 mpaka 12/10/2023 katika hotel ya Two Mountains

Warsha ya kuandaa Mpango Mkakati wa CCT (2024-2028) Read More »

Scroll to Top