Semina kwa wanafunzi wa kike USCF Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ya kuwajenga wanafunzi hao kujua nafasi zao na Kuelewa kusudi la Mungu katika maisha yao

Semina kwa wanafunzi wa kike USCF Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ya kuwajenga wanafunzi hao kujua nafasi zao na Kuelewa kusudi la Mungu katika maisha yao. Ambapo wamefundishwa kuelewa nafasi zao katika maisha yao( kuelewa yeye kama binti ni nani?) pia wamefundishwa namna ya ya kutambua nafasi zao Kibibilia. Esther Muhagachi ni mratibu wa mradi wa kuwawezesha wanawake na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia CCT ambapo amewasihi wanafunzi wa kike kujua kusudi la Mungu katika maisha yao. Kuna utofauti