Utume na Uinjilisti
Utume na Uinjilisti
MAPATANO YA MKUTANO MKUU WA 32 WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) – TAREHE 4/7/2025
1. Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kupitia Mkutano wake Mkuu wa 32, tumepatana kwamba, hatufungamani na itikadi yoyote bali umoja wetu ni Mwili wa Kristo unaoongozwa na misingi ya Kibiblia kwa kufuata imani na kutii sauti ya Roho Mtakatifu katika Yesu Kristo. Na kwa msingi huo linapaswa kusimamia misingi ya Upendo, Haki, Ukweli, Utu wa
MAPATANO YA MKUTANO MKUU WA 32 WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) – TAREHE 4/7/2025 Read More »
Maombi ya dunia Kitaifa Mkoani Tabora 2025
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania-CCT Askofu.Dkt.Fredrick Shoo pamoja na Katibu Mkuu wa CCT Mch.Canon.Dkt. Moses Matonya wameshiriki Maombi ya dunia Kitaifa Mkoani Tabora,maombi hayo yameratibiwa na Idara ya Maendeleo ya Wanawake,Watoto na Jinsia -CCT kwa kushirikiana na kamati ya Wanawake CCT Mkoa wa Tabora. Katika maombi hayo Mwenyekiti wa CCT amewapongeza CCT Mkoa wa
Maombi ya dunia Kitaifa Mkoani Tabora 2025 Read More »
Kongamano la maombi la wa wanawake CCT 2024
Mwenyekiti wa CCT Mkoa wa Morogoro Baba Askofu Jacob Mameo amefungua Kongamano la maombi la wa wanawake CCT Kitaifa,Kongamano hilo linafanyika katika kituo cha mafunzo ya wanawake Morogoro na kuhudhuriwa na wanawake kutoka kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania. Kongamano hilo limetanguliwa na maandamano yaliyofanyika kutokea eneo la posta mpaka kituo cha mafunzo ya wanawake MWTC
Kongamano la maombi la wa wanawake CCT 2024 Read More »
Tamko la CCT (Leo Tar 14 Nov 2024) kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tarehe 27 Novemba 2024
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imeshauri Serikali kuharakisha mchakato wa Katiba mpya na chaguzi zote kusimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuepusha changamoto mbalimbali zinazojitokeza wakati wa Uchaguzi na kwa kufanya hivyo kutasaidia wote kushiriki kuchagua Viongozi watakaowaletea Maendeleo na kudumisha Amani. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Askofu Daktari Frederick Shoo wakati
Matembezi kwa Askofu Stanford Shauri
Mch.Canon.Dkt. Moses Matonya Katibu Mkuu wa Jumuiya Ya Kikristo Tanzania-CCT akiambatana na baadhi ya watumishi wa CCT wametembelea nyumbani kwa Katibu Mkuu Mstaafu wa CCT Askofu Stanford Shauri(1976-1988) Kimara, Dar es salaam. Katibu Mkuu Mstaafu wa CCT aliweza kueleza mengi juu ya historia ya CCT ikiwa ni pamoja kuhama kwa makao makuu ya CCT Kutokea
Matembezi kwa Askofu Stanford Shauri Read More »
Huduma ya uinjilisti iliofanywa Mang’ula Ifakara Morogoro na Vijana kutoka USCF MABIBO Aug 7, 2024
Kurugenzi ya utume na Uinjilisti-CCT Imeendelea kuratibu vyombo vya USCF na UKWATA,Katika uratibu wa vyombo hivyo imesimamia kazi mbalimbali zinazofanywa na vijana wanafunzi kupitia vyombo hivyo ikiwemo huduma za umisioni na uinjilisti katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu,ifuatayo ni makala fupi ya huduma ya uinjilisti iliofanywa Mang’ula Ifakara Morogoro na Vijana kutoka USCF MABIBO (UDSM)
Ibada ya CCT Day Tanga Tar 12 Mei 2024
Maadhimisho ya Ibada ya CCT Mkoa wa Tanga. Ibada inaendelea na katika kanisa la KKKT Usharika wa Manundu Korogwe. Ibada hii imehudhuriwa na watumishi kutoka jumuiya ya Kikristo Tanzania Makao makuu akiwemo Ndugu Godlisten Moshi ambae ndie mgeni Rasmi akimuwakilisha Katibu Mkuu. Mhubiri wa neno la Mungu ni Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu ambaye ametukumbusha
Ibada ya CCT Day Tanga Tar 12 Mei 2024 Read More »
