Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mh. Simon Odunga akifurahia moja ya mifuko mbadala iliyotengenezwa na Jumuiya ya Kikristo Tanzania .

CCT yatengeneza mifuko(vifungashio) mbadala.Hii ni kutokana na mifuko ya plastiki kuwa chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira. Picha ni Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mh. Simon Odunga akifurahia moja ya mifuko mbadala iliyotengenezwa na Jumuiya ya Kikristo Tanzania . Ni katika siku ya maonyesho ya bidhaa za wajasiliamali yaliyoandaliwa na Edodoma Empowerment yaliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma kuanzia Tar 21-28 May 2019

katikati ni mratibu wa wa mradi wa Mwanamke Jasiri bi Elizabeth Ngede

Leave a Reply