More details

Mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa dini mbalimbali kupambana na ebola

Picha ya pamoja kati ya viongozi wa dini mbalimbali Mkoani Mwanza baada ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kupambana na ebola. Kwanza kuhakikisha haiingii Tanzania, na hata ikiingia tuidhibiti isilete madhara. Mratibu wa magonjwa ya mlipuko mkoa wa mwanza Dkt Nangi William Nangi mewaomba viongozi hao kuelemisha jamii kuchukua tahadhari ili ugonjwa huu hatari usiingie, Tiba nzuri kwa mwanadamu ni lishe bora, kwa kuwa lishe bora hujenga mwili dhidi dhidi ya magonjwa kama Ebora