More details

Uzinduzi wa kampeni ya kujikinga na ugonjwa wa Ebola

Uzinduzi wa elimu ya kuwajengea uwezo viongozi wa dini mbalimbali kwa Mikoa ya Kigoma,Geita, Mwanza, Kagera na Mara ili wapate uelewa wa kuwaongoza waumini wao juu ya ugonjwa wa Ebola ambao tayari sasa uko nchi jirani ya Uganda. Baada ya mafunzo viongozi wa dini wakaelimishe waumini kupitia misikiti, makanisa na majukwaa yao ili kujikinga na Ebola