More details

SIKU YA UKIMWI DUNIANI Desemba 1, 2022

Tuimarishe usawa katika kutoa huduma za UKIMWI kwa makundi yote ya wananchi na katika maeneo yote ya kijeografia kwa kuondoa vikwazo vinavyoondoa usawa katika kufikia dira ya kutokomeza UKIMWI ifikapo mwaka 2030.