Gallery

Wageni toka ubalozi wa Denmark wametembelea ofisi ya wasaidizi wa kisheria katuka wanaosimamiwa na CCT katika wilaya ya chamwino

Jukwaa la wajane na Wagane wa Kikristo Tanzania limefanyika leo Tarehe 6 Novemba, Dhima kuu ikiwa ni Kuhakikisha wanawake na watoto wanajengewa uwezo wa kiroho, kielimu na kiuchumi ili waweze kuzimudu changamoto na kustawi kimaisha na kumtumikia MUNGU
Kongamano la kuhamasisha Viongozi wa Dini na wadau wengine kutetea haki za mwanamke na mtoto wa kike limefanyika Jijini Dodoma leo tarehe 24 Ocktoba 2020. Kongamano hili limewezeshwa na CCT kupitia mradi wa Mwanamke Jasiri unaofadhiliwa na Shirika la maendeleo la Norway (NORAD).

Mratibu wa mradi wa Mwanamke jasiri mkoa wa Dodoma Elizabeth Ngede akitoa ushauri wa masoko kwa Kikundi cha Imara ambao wanajishughulisha na utengenezaji wa vyungu

Mr Elibarik Msengi ( Mwanasheria) wa CCT akielimisha wananchi juu ya umuhimu wa kupiga kura *kwa nini ni muhimu kupiga kura* kupitia Dodoma Fm kupitia mradi wa DDA unatekelezwa hapa Dodoma na CCT kwa ufadhili wa *PACT*
A new Norwegian Church Aid (NCA) Country Director in Tanzania Miss Paulina visited Christian Council of Tanzania (CCT) Offices in the Capital City, Dodoma, November 29, and attended a morning prayer before conducting a meeting for Working the Giant Initiative.

Viongozi wa dini mbalimbali mkoa wa Dodoma akiwemo Askofu Joseph Mtorela kutoka Kanisa la Mennonite Tanzania, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ndugu Mustafa Rajabu, wachungaji na Mratibu wa Kamati ya Mahusiano ya Dini Mbalimbali wakielezea jinsi ambavyo wanashiriki katika kulinda na kutetea haki za watoto katika jamii hasa sehemu za kuabudia.