Mwanamke Jasiri Ni nani?

Hivi ndivyo CCT kupitia idara ya wanawake na watoto katika Mikoa mbalimbali ilishiriki siku ya wanawake Duniani ambapo mpango wake ni kuona wanawake wanajishughulisha na biashara endelevu, wanapata nafasi sawa katika soko la ajira,wanapata fulsa za mitaji kama mikopo pia kuona wawakilishi wanawake katika vyombo vya habari.