Pray

Tuombee maandalizi ya CCT DAY ambayo kilele chake ni Tarehe 30, Mei 2021. Viongozi CCT Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara wakiwatakia heri ya maandalizi ya CCT DAY.