Jukwaa la wajane na Wagane wa Kikristo Tanzania limefanyika leo Tarehe 6 Novemba 2020 Dodoma.

Jukwaa la wajane na Wagane wa Kikristo Tanzania limefanyika leo Tarehe 6 Novemba 2020 katika ukumbi wa KKKT Kanisa kuu Dodoma. Dhima kuu ikiwa ni Kuhakikisha wanawake na watoto wanajengewa uwezo wa kiroho, kielimu na kiuchumi ili waweze kuzimudu changamoto na kustawi kimaisha na kumtumikia MUNGU

Mgeni Rasmi Ask Boniphace Msufa alizindua kipindi cha sauti ya ushindi ambacho kitakuwa kinarushwa hewani kupitia Redio ikiwa ni jitihada za kuwajengea uwezo wanawake wajane kiroho na kiuchumi.

Mgeni rasmi Ask Boniphace Msufa akizindua kipindi cha sauti ya Ushindi
Baadhi ya picha za washiriki wa kongamano hilo
Baadhi ya viongozi wa dini wakieleza wao kama viongozi wa kanisa katika kuwajali wajane na wagane
Baadhi ya bidhaa za wajasiriliamali walioshiriki katika kongamano hilo

Leave a Reply