Katibu Mkuu CCT, amefanya ziara katika Jengo la Kitega Uchumi Tar 13 Okt 2025

Katibu Mkuu wa CCT, Mchg Can Dkt Moses Matonya amefanya ziara katika Jengo la Kitega Uchumi la CCT Commercial Complex Jijini Dodoma, Katika ziara yake Katibu Mkuu wa CCT amesisitiza dhamira ya kukamilisha ujenzi kwa wakati na kwa ubora unaoakisi maono ya maendeleo ya CCT. Ziara hii imelenga kuhamasisha uwajibikaji na ili mradi huu uwe chachu ya maendeleo endelevu ya Kanisa na jamii kwa ujumla.

Scroll to Top