Kongamano la kuhamasisha Viongozi wa Dini na wadau wengine kutetea haki za mwanamke na mtoto wa kike

Kongamano la kuhamasisha Viongozi wa Dini na wadau wengine kutetea haki za mwanamke na mtoto wa kike limefanyika Jijini Dodoma leo tarehe 24 Ocktoba 2020. Kongamano hili limewezeshwa na CCT kupitia mradi wa Mwanamke Jasiri unaofadhiliwa na Shirika la maendeleo la Norway (NORAD).

Leave a Reply