Latest


INVITATION TO PARTICIPATE TO THE CCT NATIONAL FUNDRAISING EVENT ON JULY 6, 2019

January 25, 2019CCT adminLeave a commentEdit Post

The Christian Council of Tanzania (CCT), in its General Assembly held in July 2017, endorsed a five year Resource Mobilization Strategic Plan (2017- 2022). This Strategy enables CCT to start a journey towards self-sustainability. Apparently CCT depends from donors for about 80% in her operations. Only 20% of the funds is generated from local contributions of members and rental charges of CCT houses. Several projects are identified in this Strategic Plan. One of these projects is the construction of multipurpose storey with offices, conference rooms and car parking spaces at the CCT headquarters’ plots here in Dodoma.

To start the construction project of the investment building, the annual Council Meeting of CCT which met on 11-12 July, 2018 decided to conduct a nationwide fundraising campaign from January to July 2019. The culmination of the fundraising event will be on the 6th of July 2019 and the Council suggested to request the President of the United Republic of Tanzania, Hon Dr. John Pombe Magufuli to be the Guest of Honour. The President has accepted to be the Guest of Honour and he has confirmed to attend the event. The goal is to raise about 2 billion Tanzanian shillings for this event.

We, therefore, welcome you and your institution/organization as stake-holder in our pursuit to join us in the culmination of the fundraising event on the 6th of July 2019. You are kindly requested to contribute and deposit your contribution and the contribution of your organization of any amount  to our CCT CRDB Account, named CCT Jengo, Acc/no 0150281796400 prior to the event. You are advised to bring the receipts of the payment during the event for acknowledgement. President Hon. Dr Magufuli will shake you a hand to appreciate your contributions.

With appreciations.

Rev.Canon Moses Matonya

CCT GENERAL SECRETARY.

CCT INSURANCE AGENCY (UWAKALA WA BIMA)

HABARI NJEMA
Jumuiya ya Kikristo Tanzania katika muendelezo wa mpango wake wa kujitegemea kiuchumi, imeanzisha Mradi wa Uwakala wa Bima kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwa jina la CCT INSURANCE AGENCY, ulioanza Desemba 2018.
Mradi huu unaendeshwa kutoka Makao Makuu CCT Dodoma na katika ofisi zinazofunguliwa nchini kote chini ya Uongozi wa CCT Mikoa. Hivyo ukiwa kama mdau muhimu kwetu unakaribishwa sana kupata huduma zote za Bima, kwa haraka, ubora na uhakika.
HUDUMA ZETU
Zifuatazo ni Bima zinazotolewa nasi:-
 Bima ya magari na vyombo vya moto
Aina za Bima ya magari:-
I. Bima Ndogo (Third Party Only) “ambayo ni ya lazima kwa kila chombo Kisheria”
II. Bima Kubwa (Comprehensive/ Owner Cover)
III. Bima ya Kati (Third Party Fire and Theft)
IV. COMESA Yellow Card
 Bima ya nyumba ya makazi dhidi ya ;
 Moto, radi, mlipuko, moto chini ya ardhi.
 Tetemeko la ardhi, kimbunga, mafuriko.
 Kuangukiwa na mti au matawi yake.
 Wizi au jaribio la wizi
 Kinga ya majanga ya Biashara
 Bima ya moto na majanga kama milipuko,wizi, vyombo vya angani n.k
 Kinga ya Biashara (kulinda faida ambayo ungeendelea kuipata kama janga lisingetokea).
 Bima ya fedha (Money insurance).
 Bima ya maisha (Life insurance).
 Bima ya Mitambo maalumu (Engineering), mfano kompyuta n.k.
 Mizigo isafirishwayo.
MAHALI TULIPO
Makao yetu makuu ni Jijini Dodoma, Barabara ya Hospitali, Ghorofa ya kwanza Jengo la CCT Church House, karibu na Mackay House / Mkapa House.
MAWASILIANO
Kupata huduma/ maulizo
Tupigie simu kwa simu nambari +255 767 103767, +255 684 230250, +255 756 163140.