Maandamano ya Kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia

TABATA DAR ES SALAAM 


Maandamano yakitekelezwa na vijana toka madhehebu tofauti wakiongozwa na Vijana wa KKKT Tabata Magengeni Jijini Dar es salaam chini ya Mratibu Taifa Waking the Giant CCT Rev. Modest Pesha  


Katika Kongamano hilo Vijana wanasema mabadiliko yanaanza na mimi

Katika maandamano hayo Mratibu Taifa Rev. Modestus Pesha kupitia *__Waking the Giant_*_CCT amebuni keki yenye ujumbe wa kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia. 

Mratubu huyo ameelimisha jamii na pia kupitia vyombo  vya habari juu ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Picha mbalimbali za Pamoja (wadau mbalimbali) baada ya maandamano na kongamano la kupinga vitendo vya ukatili wa Kijinsia. 
Picha hizo zimebeba ujumbe wa kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia ambapo washiriki wamenyoosha mikono ikiwa ni ishara  ya kukataa vitendo hivyo

Leave a Reply