SN NAME Kazi Ulizofanya Kazi Ulizoboresha Kazi Utakazofanya Utakachoboresha Changamoto Unavyokabiliana na changamoto Huduma zipi tuzitoe bure Kipi ofisi iboreshe Boresha Mfumo Week Mwezi Mwaka
1 Brighton Ufuatiliaji wa cover za viti vya harus Mafunzo ya uchorsji Kufuatilia vitambaa na cover za viti, kuanzisha uchorsji Huduma za moradi mipya Umoja wa watendakazi Kuwakutanisha jwa njia ya vikao Daftari kwa wanafunzi Uharakishwaji wa upatikanaji wa watendakazi wapya Kuongeza column ya mradi upi mya uanzishwe 4 10 2020
2 Erasto alfred Zote za studio na stationary Good customer care Kushirikiana na wenzang juu ya ideals mpya pia kutumia mbinu mpya Jins gan tufanye kaz tofauti na siku nyingne Kuharibika kwa vifaa north hard ware & soft ware Ku-deal na tatzo moja kwa moja pia kushirikisha office member ikiwezekana watu wa nje ya office kwenye uelewa na vitu hivi hadi mafundi Offer ya picha at least 2 kwa mteja ambae kaprint picha nying ,matanfazo ya wafanya biashara,musiba pale inapobidi Background ziongezwe since zinafaida, upangwe muda (interval) ya usafi wa matent, tent nne tulikamlishe lakin tuangalie matent tofauti na meupe rafiki na mazingira yetu, usafiri pia n wa muhimu kwan sasa tunavyo vifaa ving vinatugalimu hela pine kukiwa na Vado 4 10 2020
3 Erasto alfred Zote za studio na stationary Good customer care Kushirikiana na wenzang juu ya ideals mpya pia kutumia mbinu mpya Jins gan tufanye kaz tofauti na siku nyingne Kuharibika kwa vifaa borth hard ware & soft ware Ku-deal na tatzo moja kwa moja pia kushirikisha office member ikiwezekana watu wa nje ya office kwenye uelewa na vitu hivi hadi mafundi Offer ya picha at least 2 kwa mteja ambae kaprint picha nying ,matanfazo ya wafanya biashara,musiba pale inapobidi Background ziongezwe since zinafaida, upangwe muda (interval) ya usafi wa matent, tent nne tulikamlishe lakin tuangalie matent tofauti na meupe rafiki na mazingira yetu, usafiri pia n wa muhimu kwan sasa tunavyo vifaa ving vinatugalimu hela pine kukiwa na Vado 4 10 2020
4 Erasto alfred Apana Zote ikiwemo upande wa studio na stationary Ningependekeza kwa baadae tuongeze kamera nyingne na mfanyakazi mmoja upande wa studio ili kwenye khafla yoyote wawepo wawili wa kushut na mmoja wa picha ambapo tutakuwa tunabeba na machine tunatoa picha hapo hapo Kuwa na wafanyakazi ambao hawajui wanachotakiwa kukifanya katika kazi zao, sometimes ukosefu wa support katika mawazo.ya MTU humkatisha tamaa yakuwakilisha mawazo mengne mapya Kuwakilisha katika vikao vya mwisho wa mwezi Tutengeneze ubao mkubwa wa matangazo watu watakuwa wanaweka Maoni yatolewe hard kopy kwa wasio na simu waone maoni ya wenzao watadakari 2 11 2020
5 Mary Nimetoa copy na kuprint Nimefanyia usafi Mapambo na kuyahifadhi katika usalama zaidi Upambaji, na huduma zote za hapa stationery Katika upambaji nioneshe kitu ambacho ni tofauti na kiweze kuwavutia wateja Upungufu wa vitambaa hasa hasa rangi nyeupe na nyeusi Nabuni stail ya kubana hivyo vitambaa ili pale ninapopamba viniletee madhari mazuri isionyeshe upungufu wowote Kutoa offer ya picha moja kwa mtu atakaetoa pic kuanzia 30 kama kivutio cha wateja Stationery iongezewe vifaa Ili hata pale wanafunzi wanapohitaji huduma isikosekane None above 1 11 2020
6 Meku minja Kutengeneza business card pia vipeperushi Ubunifu wa kutengeneza vipeperushi Kazi za uchoroji wa mabango Kuunda mbinu mpya za kupata fedha Uhaba wawateja Kutumia njia mandala za kipata wateja kama kujihusisha na shughuli tofauti tofauti Ofa kwa wateja wetu wakudumu Kuunda miradi mbalimbali za kutafuta fedha mbali na stationery Hakuna 4 9 2020
7 Meku minja Kutengeneza kipeperushi Kutumia muda kwa wakati Kazi zote Kuongeza nguvu ya kufanya kazi Uhaba wawateja Kubunishughuli mbalimbali Hakuna Hakuna Hakuna 4 10 2020
8 Merry Kutype, kuprint na copy Upambaji Copy, upambaji, picha Upambaji kugoogle ili nipate ujuzi hata kupitia online Printer kusumbua wakati wa kuprint Kufanya mawasiliano na staff wenzangu na kulifanyia kazi Wagonjwa,wazee na wasiojiweza iongeze photocopy machine ili hata wateja wakiwa wengi kusiwepo msongamano iwe haraka kuwahudumia na kuondoka None above 2 11 2020
9 Merry Copy, picha Upambaji Copy, picha na kupamba Mapambo Upungufu wa vitambaa Kisaidia wazee na wasiojiweza kiujumla Kuongeza vifaa vya stationery 2 12 2020
10 Mry john Nimetengeneza vitabu vya hisa na kuprint picture Sanduku LA kubebea printer Kutoa copy, kutengeneza vitabu vya kikundi Kuagiza manila za A3 ili zinisaidie katika ubanaji wa hivyo vitabu kwasababu A4 ni ndg haziwezi kuvibana Baadhi ya vifaa vya ofisi kusumbua pale ninapoletea kazi Kufanya mawasiliano na member wangu na kuamua kuingia internet kuangalia shida nini Kuwasaidia wasiojiweza Photocopy machine kubwa, vitambaa na maua kiujumla Kufanya kazi kwa bidii ili zisaidie kukuza ofisi 4 10 2020
11 Mry john Nimetoa copy na kupamba Upambaji Nitatoa copy, print,kupamba Nazi za hapa oficn na upambaji Upungufu was vitambaa vitambaa vilivyopo havitoshelezi unaweza ukasema uweke style nzuri katika kupamba lakin unajikuta vitambaa vinakuwa vichache unaamua kupamba tu kawaida ili ile sehem viweze kutosha Napamba theni nafikisha taarifa ili yakwamba hilo pengo liweze kuondolewa Wagonjwa, wazee na wasiojiweza kiujumla Iongeze vitambaa ikiwezekana kila rangi iwe na pare walau mbili None above 3 11 2020
12 Mry john Copy, typing na picha Upambaji, na huduma zote zitakazojitokeza hapa stationery Upambaji Baadhi ya wateja kutokufanya malipo kwa wakati mliokubaliana Kumuelimisha juu ya kuheshimu zote zinazotolewa na ofisi pasiwepo malimbikizo ya pesa ili yakwamba ofc iweze kuendelea na huduma zote zipatikane Wazee, na wasiojiweza Vitambaa, na vifaa vya stationery None above 4 11 2020
13 Mry john Copy, typing na picha Upambaji, na huduma zote zitakazojitokeza hapa stationery Upambaji Baadhi ya wateja kutokufanya malipo kwa wakati mliokubaliana Kumuelimisha juu ya kuheshimu zote zinazotolewa na ofisi pasiwepo malimbikizo ya pesa ili yakwamba ofc iweze kuendelea na huduma zote zipatikane Wazee, na wasiojiweza Vitambaa, na vifaa vya stationery None above 4 11 2020
14 Nelson Copy na picture Box la mprinter Kutoka copy kupiga picha Kuboresha computer za ofisi , printer ya zamani Baadhi ya vifaa kusumbua Kuandaa kifungu kwa ajili ya marekebisho Kisaidia wazee na wasiojiweza kiujumla Sim ya ofisi None above 4 10 2020
15 Nelson Copy ,kuprint, kutoka picha Usafi wa tent Kusafisha picha, kopi, kujitahidi kufatilia wateja ili waweze kupata huduma zetu. Vifaa vitakavyokuwa vimeisha ndani ya ofisi yetu. Baadhi ya vifaa kusumbua Kutenga kufungu cha pesa kwa ajili ya marekebisho ya vifaa hivyo. Kusaidia watu wasiojiweza, wagonjwa n.k. Kununua taa, na kuhakisha kila MTU ajue wajibu wake katika kazi . Mfumo huu uko safi unatutunzia kumbukumbu zetu vizuri. 1 11 2020
16 Nelson Copy , kurekebisha printa, kupiga picha na kusafisha Nimeboresha prints ya kopi. Nitaendelea kutoa huduma mbalimbali zitakazoletwa na wateja. Wateja kutokubaliana na utaratibu uliopangwa na ofisi yetu. Naelimisha mtu mmoja hadi wengine ili waweze kufuata utaratibu wa ofisi yetu. Magonjwa ,misiba na watu wasiojiweza. Stepula kubwa. Mfumo huu unasaidia sana kujenga na kuendeleza ofisi yetu. 2 11 2020
17 Nelson Copi Kuhakikisha kazi zinazokuja ofisini nimekabili nazo , ikiwa ni kutoa huduma kwa wateja wote . Nitaboresha kifaa kitakachokuwa kimeleta shida kizarula. Vifaa vya ofisi kutokuwa karibu. Kufatilia na kuhakisha vimepatikana vifaa hivyo Watu yatima na wasio na uwezo na wagonjwa Tenti kutafuti kapeti lake. Sina vyongeza juu ya mfumo huu, na uko poa. 3 11 2020
18 Nelson Copi Kuhakikisha kazi zinazokuja ofisini nimekabili nazo , ikiwa ni kutoa huduma kwa wateja wote . Nitaboresha kifaa kitakachokuwa kimeleta shida kizarula. Vifaa vya ofisi kutokuwa karibu. Kufatilia na kuhakisha vimepatikana vifaa hivyo Watu yatima na wasio na uwezo na wagonjwa Tenti kutafuti kapeti lake. Sina vyongeza juu ya mfumo huu, na uko poa. 3 11 2020
19 Nelson Copi Kuhakikisha kazi zinazokuja ofisini nimekabili nazo , ikiwa ni kutoa huduma kwa wateja wote . Nitaboresha kifaa kitakachokuwa kimeleta shida kizarula. Vifaa vya ofisi kutokuwa karibu. Kufatilia na kuhakisha vimepatikana vifaa hivyo Watu yatima na wasio na uwezo na wagonjwa Tenti kutafuti kapeti lake. Sina vyongeza juu ya mfumo huu, na uko poa. 3 11 2020
20 Nelson Copy wastan na picha pamoja na kuprint na kufatilia jinsi walivyopamba kwenye sherehe ya zabron. Mabambo Kuhakikisha kazi zinazokuja ofisini nimekabili nazo , ikiwa ni kutoa huduma kwa wateja wote . Nitaboresha kifaa kitakachokuwa kimeleta shida kizarula. Watu yatima na wasio na uwezo na wagonjwa Tenti kutafuti kapeti lake. 4 11 2020
21 Nelson Copy wastan na picha pamoja na kuprint na kufatilia jinsi walivyopamba kwenye sherehe ya zabron. Mabambo Kuhakikisha kazi zinazokuja ofisini nimekabili nazo , ikiwa ni kutoa huduma kwa wateja wote . Nitaboresha kifaa kitakachokuwa kimeleta shida kizarula. Watu yatima na wasio na uwezo na wagonjwa Tenti kutafuti kapeti lake. 4 11 2020
22 Nove Nilihamasisha wateja huko kakonko waimba kwaya ili wawe wanatolea video kibila kwahyo wameniambia wakae kikao ili waje Bado natafta namna gan computer zikae sawa Nitafatilia program za vition ya 2021ili kukamilisha ufanisi wa kaz Computer kuziwekea prog 2021 Nipamoja na vifurushi vya bando kuwa vidogo ukilinganisha na kazi ambazo zinakuwepo Natoa taarifa kwanza kwa member wa kibila ili tujue nijinsi gan tunamaliza changamoto hiyo Kusaidia hasa kwenye misiba Kuweka nembo ya kibila kwenye matenti Nabolesha komputer 2 11 2020
23 Nove Nilihamasisha wateja huko kakonko waimba kwaya ili wawe wanatolea video kibila kwahyo wameniambia wakae kikao ili waje Bado natafta namna gan computer zikae sawa Nitafatilia program za vition ya 2021ili kukamilisha ufanisi wa kaz Computer kuziwekea prog 2021 Nipamoja na vifurushi vya bando kuwa vidogo ukilinganisha na kazi ambazo zinakuwepo Natoa taarifa kwanza kwa member wa kibila ili tujue nijinsi gan tunamaliza changamoto hiyo Kusaidia hasa kwenye misiba Kuweka nembo ya kibila kwenye matenti Nabolesha komputer 2 11 2020
24 Yolam kalegea Nimepiga picha na kupiga windo computer moja Nimeongeza program Nitaendelea kupiga window computer zote Kuweka window kwenye computer Baadhi ya computer program hazisomi Njia ya internet Kusaisia wasiojiweza Kununua taa None above 4 10 2020