CCT YAPOKEA TUZO MAALUM

Maadhimisho ya miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia

Fahamu

Matukio Makuu ya Mwaka

CCT Day ni siku maalumu iliyowekwa kikatiba kwa lengo la kukumbushana misingi na umuhimu wa umoja wa makanisa na vyama wanachama wa CCT katika ngazi zote. Aidha siku hii imewekwa madhubuti ili kukumbusha waumini mmoja mmoja umuhimu wa umoja na shughuli za Jumuiya kwa Kanisa na Jamii. Siku hii hutolewa sadaka maalumu ambayo kazi yake kubwa ni kuendeleza shughuli za kitume na kijamii zinazoratibiwa na CCT. Kwa mwaka huu, Maadhimisho ya CCT Day yatafanyika mwezi Mei na kilele chake kitakuwa Tarehe 31 Mei 2026 ambapo Kitaifa yataadhimishwa Mkoani Njombe. Aidha shughuli za Maadhimisho ya CCT Day yatafanyika katika mikoa yote nchini. Maadhimisho haya yatafanyika kwa kuwa na matukio mbalimbali yatakayoratibiwa na Kamati za CCT kwenye Mikoa. CCT inatoa wito kwa kila muumini kuchangia kwa kadiri ya Baraka za Mungu alizomjalia ili kufikia Malengo yake ya kujiimarisha kiuchumi kwa ajili ya kutekeleza shughuli zake za kitume na kijamii.Michango inaweza kutumwa kupitia:-

  • CRDB akaunti namba: 01J1081943800 Jina CCT GS SPECIAL/ .
  • MPESA 0743784347 Jina Jumuiya ya Kikristo Tanzania .
  • Ofisi za CCT katika Mikoa .

SIKU YA MAOMBI KWA DUNIA NZIMA

IBADA YA WATU WAZIMA FEBRUARY 28, 2026 KITAIFA MBEYA

NENO KUU: “NJONI KWANGU, NINYI NYOTE MSUMBUKAO NA WENYE KULEMEWA NA MIZIGO, NAMI NITAWAPUMZISHA ” (MATHAYO 11:28-30)

  • 2026 Mbeya
  • 2025 Tabora
  • 2024 Dar es Salaam
  • 2023 Dodoma

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT 2026

Askofu Dkt.Stanley Hotay-Mwenyekiti wa CCT ameongoza Mkutano wa Halmashauri kuu ya 60 ya CCT, akifungua Mkutano huo aliwashukuru wajumbe kwa kuendelea kuonesha dhamira ya dhati katika kujenga umoja wa Kanisa na kulihudumia Taifa. Mkutano huo ulitanguliwa na Ibada ya ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi la CCT Commercial Complex lililopo mkabala na Makao makuu ya CCT,Jengo hilo la Kitega Uchumi moja ya Miradi mbalimbali ya CCT inayoiwezesha Jumuiya kujitegemea kiuchumi na kutekeleza kazi zake mbalimbali.

  • CCT COMPLEX HOUSE DODOMA
  • 9 JULAI 2026

Tumshukuru Mungu

Tumshukuru Mungu

Tumshukuru Mungu.

  • Tumshukuru Mungu.
  • Tumshukuru Mungu.
  • Tumshukuru Mungu.

Kisangula Serengeti

Mara

Picha ni Madawati 12 yaliyotolewa na kikundi cha Amani (kikundi cha vicoba)kwa shule ya Msingi Kisangula Wilayani Serengeti. Madawati haya ni jitihada za kuunga malengo ya kumsomesha mtoto wa kike na kupambana na ndoa za utotoni.

Nyarubanda

Kigoma

Picha ni daraja lililojengwa kwa hamasa ya wanachama wa PETS ili kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka mashambani katika kata ya Nyarubanda mkoani Kigoma.

Nyarubanda

Kigoma region

Picha ni daraja lililojengwa kwa hamasa ya wanachama wa PETS ili kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka mashambani katika kata ya Nyarubanda mkoani Kigoma.

Nyarubanda

Kigoma Region

Picha ni daraja lililojengwa kwa hamasa ya wanachama wa PETS ili kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka mashambani katika kata ya Nyarubanda mkoani Kigoma.

Nyarubanda

Kigoma Region

Picha ni daraja lililojengwa kwa hamasa ya wanachama wa PETS ili kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka mashambani katika kata ya Nyarubanda mkoani Kigoma.

IBADA

Chaplaincies

Udsm Chaplancy

USCF

Umisheni Iguguno Singida

UKWATA

Tuzo kwa washindi wakati wa Mkutano Mkuu wa Ukwata 2025 Mwanza

Management Team

VIONGOZI WETU

Mchg Can Dkt.Moses Matonya

Katibu Mkuu

Godlisten Moshi

Mkurugenzi wa Utawala na
Rasilimaliwatu

Clotilda Ndezi

Mkurugenzi wa Programu za Maendeleo
na Utetezi

Adv.Beatrice Dengenesa

Mkurugenzi wa Uwekezaji
na Mwanasheria

Michael Mtally

Mkurugenzi WAMA

Emma Mashauri

Mkurugenzi MWTC

Etanga Kajanja

Mhasibu Mkuu

Urio Ndekirwa

Mshauri Mwandamizi Mipango Tathmini,
Ufuatiliaji na Mafunzo

Grace Mayengo

Mkaguzi wa Ndani

OUR PARTNERS

WADAU WETU

CONTACT US

WASILIANA NASI

Anwani

S.L.P 1454 Dodoma, PostCode 41103

Simu

+255262 324 445 au
+255(0)743 784 347

Barua Pepe

info@cct.or.tz

Loading
Ujumbe wako umetumwa. Asante sana!

HISTORY

HISTORIA

UPENDO WA ASK. SHAURI(HAYATI) KWA CCT

HUYU NDIYE ASK. TEOFILO KISANJI(HAYATI)

KANISA LA ANGLIKANA TANZANIA BARA LILIANZIA HAPA

IJUE IBADA YA KWANZA YA CCT