Tathmini ya mradi wa Mwanamke Jasiri (Mid Term Evaluation)

Watafiti kutoka kampuni ya Mais Professionals’ Consultants-MPC wakiwa katika zoezi la tathmini ya kati kwa kazi zilizofanywa na mradi wa mwanamke Jasiri. Tathmini hii inafanyika  kwa vikundi vinavyonufaika na mradi huu katika mikoa minne (Mara, Dodoma,Mbeya,Songwe na Mbeya).

Mradi wa mwanamke jasiri unasimamiwa na  Jumuiya ya kikristo Tanzania kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Norway (NORAD).

Dr John Mapesa (CEO-MPC) akitoa utangulizi kwa viongozi wa H/W Kondoa DC
Dr. Stephen Nyaki (Mtafiti-MPC) akitoa utangulizi kwa wanavikundi
Wanavikundi wakihojiwa (Focal Group Discussion)
Wanavikundi wakihojiwa (Focal Group Discussion)
Wanavikundi H/W Dodoma jiji wakihojiwa (Focal Group Discussion)
Wanavikundi H/W Kondoa DC wakihojiwa (Focal Group Discussion)
Wanavikundi H/W Kondoa DC wakihojiwa (Focal Group Discussion)
Wanavikundi H/W Dodoma Jiji wakihojiwa (Focal Group Discussion)

Leave a Reply