?> CCT

Elimu ya COVID-19 | Pending () | Aproved () | Rejected () |
SN Mwezi Jina la Mwelimishaji Idadi ya watu waliyofundishwa Mada iliyofundishwa Muda uliyotumika kufundisha (dakika)
ME KE
1 Mch_Mary_Madeleo Jun, 2021 20 40 Kunawa mikono kwa maji tililika na sabuni. Kuepuka makusanyiko yasiyo ya lazima na umuhimu wa kuvaa barakoa Kila mada dakika 20 jumla dakika 60
2 Isaya_Nyaombo Jun, 2021 19 27 Jinsi ya kujikinga covid 19 Sikuangali nadhani 20
3 Mary_Messay Jun, 2021 87 143 Njia za kujikinga na maambukizi ya covid 19 saa 1
4 Philipo_Konki Jun, 2021 132 174 Covid 19 ni ni na kunawa kwa maji tiririka na sabuni Dakika 20
5 Hellen_T_Andrew Jun, 2021 19 38 Jinsi ya kujikinga na maambukizi ya colona (COVID 19) Dakika 10
6 Canon_David_Mdabuko Jun, 2021 133 183 Njia za kujikinga na UVIKO 19. Kunawa mikono, kutumia sanitizer, Kuvaa barakoa na kutosalimiana Dk10
7 Shekh_Suleyman_Matitu Jun, 2021 30 20 Elimu ya corona
8 Mch_Grace_Mbata Jul, 2021 90 120 Jinsi ya kujikinga na maambukizi ya Covd 19 30
9 Philipo_Konki Jul, 2021 15 6 Jinsi ya kuvaa barakoa na kunawa kwa maji tiririka na sabuni 15
10 Philipo_Konki Jul, 2021 40 62 Uvaaji barakoa na kunawa na sabuni kwa maji tiririka 15
11 Mch_Grace_Mbata Jul, 2021 120 180 Kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima..kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka..Na kuvaa barakoa. 30
12 Philipo_Konki Jul, 2021 48 73 Uvaaji barakoa na kunawa na sabuni kwa maji tiririka 15
13 Hellen_T_Andrew Jul, 2021 20 40 kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka 45
14 Hellen_T_Andrew Jul, 2021 24 47 Jinsi ya kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka 15
15 Mary_Messay Jul, 2021 215 327 kujikinga na maambukizi ya covid 19 60
16 Timonth_Holela Jul, 2021 12 19 Kunawa mikono 45
17 Shekh_Suleyman_Matitu Jul, 2021 200 100 Mafunzo ya corona
18 Mchg_N_Swai Jul, 2021 35 43 Elimu ya korona Dakika 8
19 Mch_Mary_Madeleo Jul, 2021 40 190 kuvaa barakoa,Umuhimu wa kunawa na maji tiririka na sanitizer, Kutoshikana mikono wakati wa kusalimiana,Kuto kenda kwenye makusanyiko yasiyo ya lazima 45
20 Abubakar_Khamis Jul, 2021 40 75 Ufahamu kuhusu UVIKO, dalili na namna ya kujikinga Dk 60
21 Abubakar_Khamis Jul, 2021 86 114 Ufahamu kuhusu UVIKO, dalili na namna ya kujikinga Dk 60
22 Isaya_Nyaombo Jul, 2021 74 88 Kijikinga na COVID-19 32
23 Mch_Grace_Mbata Aug, 2021 62 87 Kuendelea kuchukua Tahadhari zidi ya maambukizi ya Uvico 19 30
24 Philipo_Konki Aug, 2021 34 26
25 Philipo_Konki Aug, 2021 48 34 Jinsi ya kujikinga na corona 15
26 Mary_Messay Aug, 2021 1024 1065 Namna ya kujikinga na maambukizi ya covid 19 120
27 Canon_David_Mdabuko Aug, 2021 67 111 Njia za kujikinga na UVIKO 19. Kunawa mikono, kutumia sanitizer, Kuvaa barakoa na kutosalimiana Dk10
28 Timonth_Holela Aug, 2021 197 148 Kunawa mikono elimu ya xhanjo na kuvaa barakoa 15
29 Shekh_Mvumbo_Kisusu Aug, 2021 900 300 Elimu ya kujikinga na corona Wiki mbili
30 Shekh_Suleyman_Matitu Aug, 2021 40 20 Elimu ya corona
31 Mchg_N_Swai Aug, 2021 28 32 Elimu ya korona Dakika 7
32 Mch_Mary_Madeleo Aug, 2021 35 55 tuchukue tahadhari,1)kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni na sanitizer 2)tuepuke mikusanyiko isiyo ya lazima 3) kuvaa barakoa 4)Kufupisha masaa ya ibada 45
33 Mch_Mary_Madeleo Aug, 2021 30 50 Corona ipo na inauwa tuchukue tahadhari,1)kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni na sanitizer 2)tuepuke mikusanyiko isiyo ya lazima 3) kuvaa barakoa 4)Kufupisha masaa ya ibada Kila mada dakika 7 jumla 28
34 Abubakar_Khamis Aug, 2021 704 472 Ufahamu kuhusu UVIKO,uvaaji wa barakoa na namna ya kujikinga kiujumla Dk 90
35 Shekh_Suleyman_Matitu Sep, 2021 1000 2000 Kunawa mikono, Elimu ya Chanjo, Barakoa dakika 60
36 Sauda_Abdu Sep, 2021 9 4 Umuhimu wa kuvaa barakoa 7
37 Antony_Mlyashimba Sep, 2021 23 36
38 Philipo_Konki Sep, 2021 17 5 Corona ni nn na na na ya kujikinga na corona Dakika 20
39 Sauda_Abdu Sep, 2021 9 45 Umuhimu wa kuvaa barakoa na namna yakujikinga nagonjwa hili hatari la corona 15
40 Sauda_Abdu Sep, 2021 9 7 Umuhimu wa kuvaa barakoa 30
41 Mch_Mary_Madeleo Sep, 2021 3 2 Kujikinga na Corona,Tumia maji tiririka na sabuni,umuhimu wa kuvaa barakoa Dakika 10
42 Mch_Mary_Madeleo Sep, 2021 18 2 Kujikinga na corona,kuepuka makusanyiko yasiyo ya lazima, kutumia vitakasa mikono kabla na baada ya kugusana na watu Dakika 10
43 Mch_Mary_Madeleo Sep, 2021 5 10 kuepuka makusanyiko yasiyo ya lazima, kutumia vitakasa mikono kabla na baada ya kugusana na watu na kuvaa barakoa Dakika 10
44 Mch_Mary_Madeleo Sep, 2021 8 22 kutumia vitakasa mikono kabla na baada ya kugusana na watu na kuvaa barakoa na kukaa umbali wa mita moja Dakika 10
45 Mch_Mary_Madeleo Sep, 2021 20 7 Kujikinga na Corona,Tumia maji tiririka na sabuni,umuhimu wa kuvaa barakoa Dakika 10
46 Mary_Messay Sep, 2021 2672 3950 Namna ya kujikinga na maambukizi ya covid 19 65
47 Zabibu_Juma_Ally Sep, 2021 14 52 Uvaaji wa barakoa Saa 1,30
48 Mch_Mary_Madeleo Oct, 2021 7 10 Umuhimu wa kuvaa barakoa,Umuhimu wa kunawa na maji tiririka na sanitizer, Kutoshikana mikono wakati wa kusalimiana,Kuto kenda kwenye makusanyiko yasiyo ya lazima10 Dakika 10
49 Hellen_T_Andrew Oct, 2021 16 34 Jinsi ya kujikinga na covid 19 15
50 Zabibu_Juma_Ally Oct, 2021 3 82 Uvaaji wa barakoa kwa wanaodhani uvaaji wa nikbu kwamba barakoa tosha pia unawaji wa mikono utumiaji vitakasa mikono Saa 2
51 Antony_Mlyashimba Oct, 2021 23 36 Umuhimu wa kinga
52 Hellen_T_Andrew Oct, 2021 27 4 Ufahamu kuhusu colona na njinsi ya kujikinga 30
53 Mary_Messay Oct, 2021 78 126 Kujikinga na uviko 19 30
54 Hellen_T_Andrew Oct, 2021 35 69 Umuhimu wa kula vyakula vya vitamin C kwa wingi na umuhimu wa kufanya mazoezi kwajiri ya kuimarisha kinga ya mwili 45
55 Yusuph_Marengu Oct, 2021 20 8 Umuhimu wa chanjo dhidi ya COVID 19 35
56 Yusuph_Marengu Oct, 2021 20 8 Umuhimu wa chanjo dhidi ya COVID 19 35
57 Isaya_Nyaombo Oct, 2021 23 52 Muendelezo wa matumizi ya barakoa na vitakasa mikono 14
58 Isaya_Nyaombo Oct, 2021 23 52 Muendelezo wa matumizi ya barakoa na vitakasa mikono 14
59 Rogatha_Uronu Oct, 2021 10 5 Umuhimu wa Chanjo ya Covid Dk 45
60 Rogatha_Uronu Oct, 2021 15 10 Umuhimu wa Chanjo ya Covid Dk 45
61 Mch_Mary_Madeleo Oct, 2021 350 80 Umuhimu wa kuvaa barakoa na Kuto kwenda kwenye makusanyiko yasiyo ya lazima Dakika 10 kila mada
62 Mch_Mary_Madeleo Oct, 2021 4 8 Kunawa mikono kwa maji tililika na sabuni. Dakika 5
63 Mch_Mary_Madeleo Oct, 2021 10 7 Kunawa mikono kwa maji tililika na sabuni. Umuhimu wa kutumia sanitizer Dakika 10 kila mada
64 Mch_Mary_Madeleo Oct, 2021 195 150 Kunawa mikono kwa maji tililika na sabuni,Umuhimu wa kutumia sanitizer na umuhimu wa kuvaa barakoa Dakika 10 kila mada
65 Mch_Grace_Mbata Nov, 2021 98 120 Uvico bado upo..tujitahidi kuchua tahadhari..kuvaa barakoa, ,kujiepusha na misongamao isiyo ya lazima. kuendelea kunawa mikono 30
66 Timonth_Holela Nov, 2021 120 156 Kuendelea kujikinga na colona kwa kunawa kwa maji tiririka na sabuni pia waendelee kutumia barakoa .pamoja kuendelea kupata chanjo 10
67 Zabibu_Juma_Ally Nov, 2021 50 48
68 Zabibu_Juma_Ally Nov, 2021 50 48 Uvaaji wa barakoa na kunawa mikono na kutumia vitakasa mikono 30
69 Zabibu_Juma_Ally Nov, 2021 50 48 Uvaaji wa barakoa na kunawa mikono na kutumia vitakasa mikono 30
70 Mch_Mary_Madeleo Nov, 2021 40 90 Kunawa mikono kwa maji tililika na sabuni,Umuhimu wa kutumia sanitizer na umuhimu wa kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima Dakika 10 kila mada
71 Fatina_Saidi_Athumani Nov, 2021 52 158 Uvaaji wa barakoa kwa wanaodhani uvaaji wa nikbu kwamba barakoa tosha pia unawaji wa mikono utumiaji vitakasa mikono Saa 2
JUMLA 9794 12060