SIKU YA MAOMBI YA DUNIA KITAIFA FEB 28, 2026 MBEYA

MATHAYO 11:28-30

Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha..

IFAHAMU CCT

Jumuiya ya Kikristo Tanzania ambayo inajulikana kwa kifupi kama CCT (Christian Council of Tanzania), ni Taasisi mwavuli inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotes- tanti Tanzania. Kwa sasa CCT inaundwa na Makanisa mbalimbali Wanachama na Vyama vya Kikristo au vyenye mwelekeo wa kikanisa kutoka Tanzania Bara na Visiwani.

Taasisi hii ilianzishwa rasmi tarehe 23 Januari, 1934 kutokana na maono ya Wamisionari kutoka Kanisa Anglikana, Kanisa la Moravian na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri. Wamisionari hawa walipata maono ya kujenga umoja kati ya makanisa wanachama ambao utajihusisha na masuala mbalimbali ya kiimani, kimaendeleo na kijamii.. Muungano huu ulijulikana kwa jina la Kiingereza, Tanganyika Missionary Council (TMC).

Mnamo mwaka 1964 Mungu aliwapa maono watumishi wake Baba Askofu Stephano Reuben Moshi (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania), Baba Askofu Theofilo Kisanji (Kanisa la Moravian Tanzania) na Baba Askofu Mkuu John Sepeku (Kanisa Anglikana Tanzania) kubadilisha usajili wa TMC kuwa Christian Council of Tanzania (CCT), jina linalotumika hadi sasa.

Idadi ya Makanisa yaliyopo chini ya CCT imekuwa ikiongezeka kutoka Makanisa matatu (3) ya mwanzo mwaka 1934 hadi kufikia makanisa ya Kiprotestanti kumi na mbili (12) yaliyopo mwaka 2024

MALENGO MAHSUSI YA CCT

  • Kuimarisha mafundisho ya Neno la Mungu, huduma za Kiroho na Uinjilisti kwa watu wote
  • Kuratibu na kuendeleza huduma jumuishi za Maendeleo endelevu kwa mwanadamu kiroho na kimwili.
  • Kuimarisha chombo cha CCT katika kujitegemea Kiuchumi na Usimamizi wa Rasilimali Fedha, Vitu na Watu katika kuihudumia jamii yote.

DIRA na DHAMIRA

Dira ya CCT (CCT Vision)

Kuwa chombo cha Ki-ekumene cha Kikristo chenye kuleta maendeleo kamilifu na endelevu kwa ajili ya Ufalme wa Mungu.

Dhamira ya CCT (CCT Mission)

Kudumisha umoja katika mwili wa Kristo na kuunganisha nguvu katika kutatua changamoto na kutumia fursa zilizopo kuleta maendeleo kamilifu na endelevu kwenye jamii.

Fahamu

Huduma Zetu

Utume na Uinjilisti

Kuimarisha Umoja wa makanisa wanachama CCT, kusimamia watoto shuleni kupitia chombo cha UKWATA na vyuoni kupitia chombo cha USCF.

Maendeleo na Utetezi

Kazi ya utetezi, Elimu ya kisheria na msaada wa kisheria kwa wanajamii, Uchambuzi wa sera, Kutoa elimu ya Afya, usalama wa chakula na mabadiliko ya tabia nchi.

Uwekezaji

Kuimarisha miradi ya uwekezaji kama ujenzi wa majengo ya kupangisha, Huduma za bima,Kilimo kwa ajili ya kuimarisha taasisi kujitegemea.

Waliopokea Elimu ya Kisheria

Waliopata Msaada wa Kisheria

Idadi ya vocoba

Idadi ya Chaplaicnies

CCT Day ni siku maalumu iliyowekwa kikatiba kwa lengo la kukumbushana misingi na umuhimu wa umoja wa makanisa na vyama wanachama wa CCT katika ngazi zote. Aidha siku hii imewekwa madhubuti ili kukumbusha waumini mmoja mmoja umuhimu wa umoja na shughuli za Jumuiya kwa Kanisa na Jamii. Siku hii hutolewa sadaka maalumu ambayo kazi yake kubwa ni kuendeleza shughuli za kitume na kijamii zinazoratibiwa na CCT. Kwa mwaka huu, Maadhimisho ya CCT Day yatafanyika mwezi Mei na kilele chake kitakuwa Tarehe 31 Mei 2026 ambapo Kitaifa yataadhimishwa Mkoani Njombe. Aidha shughuli za Maadhimisho ya CCT Day yatafanyika katika mikoa yote nchini. Maadhimisho haya yatafanyika kwa kuwa na matukio mbalimbali yatakayoratibiwa na Kamati za CCT kwenye Mikoa. CCT inatoa wito kwa kila muumini kuchangia kwa kadiri ya Baraka za Mungu alizomjalia ili kufikia Malengo yake ya kujiimarisha kiuchumi kwa ajili ya kutekeleza shughuli zake za kitume na kijamii.Michango inaweza kutumwa kupitia:-

  • CRDB akaunti namba: 01J1081943800 Jina CCT GS SPECIAL/ .
  • MPESA 0743784347 Jina Jumuiya ya Kikristo Tanzania .
  • Ofisi za CCT katika Mikoa .

Tumshukuru Mungu

Tumshukuru Mungu

Tumshukuru Mungu

  • Tumshukuru Mungu.
  • Tumshukuru Mungu.
  • Tumshukuru Mungu
  • Tumshukuru Mungu.

Tumshukuru Mungu

Tumshukuru Mungu

  • Tumshukuru Mungu
  • Tumshukuru Mungu
  • Tumshukuru Mungu

Tumshukuru Mungu.

Tumshukuru Mungu

Tumshukuru Mungu

Tumshukuru Mungu.

  • Tumshukuru Mungu.
  • Tumshukuru Mungu.
  • Tumshukuru Mungu.

Nyarubanda

Kigoma Region

Picha ni daraja lililojengwa kwa hamasa ya wanachama wa PETS ili kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka mashambani katika kata ya Nyarubanda mkoani Kigoma.

Nyarubanda

Kigoma region

Picha ni daraja lililojengwa kwa hamasa ya wanachama wa PETS ili kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka mashambani katika kata ya Nyarubanda mkoani Kigoma.

Nyarubanda

Kigoma region

Picha ni daraja lililojengwa kwa hamasa ya wanachama wa PETS ili kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka mashambani katika kata ya Nyarubanda mkoani Kigoma.

Nyarubanda

Kigoma Region

Picha ni daraja lililojengwa kwa hamasa ya wanachama wa PETS ili kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka mashambani katika kata ya Nyarubanda mkoani Kigoma.

Nyarubanda

Kigoma Region

Picha ni daraja lililojengwa kwa hamasa ya wanachama wa PETS ili kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka mashambani katika kata ya Nyarubanda mkoani Kigoma.

IBADA

Chaplaincies

Mipango Chaplancy

USCF

Umisheni Iguguno Singida

UKWATA

Tuzo kwa washindi wakati wa Mkutano Mkuu wa Ukwata 2025 Mwanza

Management

VIONGOZI WETU

Mchg Can Dkt.Moses Matonya

Katibu Mkuu

Godlisten Moshi

Mkurugenzi wa Utawala na
Rasilimaliwatu

Clotilda Ndezi

Mkurugenzi wa Programu za Manendeleo
na Utetezi

Beatrice Dengenesa

Mkurugenzi wa Uwekezaji
na Mwanasheria

Michael Mtally

Mkurugenzi WAMA

Emma Mashauri

Mkurugenzi MWTC

Etanga Kajanja

Mhasibu Mkuu

Urio Ndekirwa

Afisa Mwandamizi Mipango Tathmini,
Ufuatiliaji na Mafunzo

Grace Mayengo

Mkaguzi wa Ndani

WADAU WETU

WasilianaNasi

Jumuiya ya Kikristo Tanzania

Anwani

P.O Box 1454 Btn 8th and 9th Road, Dodoma

Piga Simu

+255262324445

Barua Pepe

info@cct.or.tz

Loading
Ujumbe wako umetumwa. Asante sana!