UMISHENI NA UINJILISTI
Kuimarisha Umoja wa makanisa wanachama CCT.
Soma Zaidi
Kuimarisha Umoja wa makanisa wanachama CCT, kusimamia wanafunzi shuleni kupitia chombo cha UKWATA na vyuoni kupitia chombo cha USCF.
Maendeleo na Utetezi
Kazi ya utetezi, Elimu ya kisheria na msaada wa kisheria kwa wanajamii, Uchambuzi wa sera, Kutoa elimu ya Afya, usalama wa chakula na mabadiliko ya tabia nchi.
Uwekezaji
Kuimarisha uwekezaji katika ujenzi wa majengo ya kibiashara, Usafirishaji wa mizigo,huduma za bima na kilimo ili kuongeza uwezo wa taasisi kujitegemea kiuchumi.