Viongozi wa CCT
1.Ask. Dkt. Stanley Hotay – Mwenyekiti
Ambaye ni Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro
2. Ask Dkt. Abednego Keshomshahara
Makamu wa Kwanza wa Mwenyekit
Ambaye ni Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini Magharibi -Bukoba
3. Askofu Nelson Kisare
Makamu wa Pili wa Mwenyekiti
Ambaye ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania
4. Mchg Can. Dkt. Moses Matonya – Katibu Mkuu