More details

Picha ya pamoja ya Washiriki wa Warsha ya Demokrasia na Haki za Binadamu iliyofanyika tarehe 5-7/4/2022 KKKT Luther House ukumbi wa Mviringo

Picha ya pamoja ya Washiriki wa Warsha ya Demokrasia na Haki za Binadamu iliyofanyika tarehe 5-7/4/2022 KKKT Luther House ukumbi wa Mviringo. Warsha hiyo iliandaliwa na kuhudhuriwa na baadhi ya Maaskofu ( Askofu Mkuu AICT, Askofu Mkuu kanisa la Mungu, Mkuu wa Kanisa la Biblia Tanzani, Askofu wa Anglikana Dayosisi ya Tabora, Shinyanga. masasi. Biharamulo, AICT Shinyanga , KKKT Mwanga; Wachungaji, Viongozi wa Idara za Wanawake wa Makanisa ya CCT