Viongozi wa Kamati ya Dini Mbalimbali Wilayani Kiteto na Simanjiro wakiongozwa na Mch. David Kalinga Afisa Programu wa mahusiano ya Dini Mbalimbali-CCT wamekutana na kufanya kikao kifupi na Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhe.Remidius Mwema na Mkuu wa Wilaya Simanjiro Mhe.Fakii Raphael Lulandala kama inavyoonekana katika picha.