More details

CCT yaweka mkakati wa kuunganisha vijana toka makanisa wanachama CCT, Kila mmoja asiachwe nyuma. Kila Mkoa utawekewa utaratibu wa kuwa na uongozi wa Vijana, pia kila wilaya. Hii yote ni kuimarisha umoja miongoni mwa vijana wa makanisa wanachama.