Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania Mhashamu Baba Askofu Dkt.Fredrick Shoo ,ameongoza Ibada ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Jengo la Kitega Uchumi (CCT Commercial Complex). Jengo hilo linajengwa linajengwa jijini Dodoma mkabala na ofisi za CCT Makao Makuu. Jengo hili ni alama ya kuendelea kuenzi kazi kubwa iliyofanywa na viongozi waasisi wa CCT. Dkt. Shoo amesema. Katika hatua nyingine Katibu Mkuu wa CCT Mch.Dkt. Canon Moses Matonya amesema Jengo hilo litakapokamilika litasaidia kuongeza mapato ya CCT, hivyo kuongeza ufanisi na utekelezaji wa kazi mbalimbali za Taasisi ikiwemo Uinjilisti na Uratibibishaji wa Elimu ya Kikristo Mashuleni. Ibada hii imehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa CCT ,Watumishi wa CCT na baadhi ya Viongozi wa mashirika wanaofanya kazi pamoja na CCT.
TUNATOA BIMA ZA:
Magari na vyombo vya moto,
Nyumba ya makazi,
Majanga ya Biashara,
Moto,
Fedha,
Maisha,
Mitambo maalumu.
Mizigo isafirishwayo
TUNATOA BIMA ZA:
Magari na vyombo vya moto,
Nyumba ya makazi,
Majanga ya Biashara,
Moto,
Fedha,
Maisha,
Mitambo maalumu.
Mizigo isafirishwayo
TUNATOA BIMA ZA:
Magari na vyombo vya moto,
Nyumba ya makazi,
Majanga ya Biashara,
Moto,
Fedha,
Maisha,
Mitambo maalumu.
Mizigo isafirishwayo
TUNATOA BIMA ZA:
Magari na vyombo vya moto,
Nyumba ya makazi,
Majanga ya Biashara,
Moto,
Fedha,
Maisha,
Mitambo maalumu.
Mizigo isafirishwayo
TUNATOA BIMA ZA:
Magari na vyombo vya moto,
Nyumba ya makazi,
Majanga ya Biashara,
Moto,
Fedha,
Maisha,
Mitambo maalumu.
Mizigo isafirishwayo
TUNATOA BIMA ZA:
Magari na vyombo vya moto,
Nyumba ya makazi,
Majanga ya Biashara,
Moto,
Fedha,
Maisha,
Mitambo maalumu.v
Mizigo isafirishwayo
TUNATOA BIMA ZA:
Magari na vyombo vya moto,
Nyumba ya makazi,
Majanga ya Biashara,
Moto,
Fedha,
Maisha,
Mitambo maalumu.
Mizigo isafirishwayo
Ibada ya Uzinduzi wa nyumba 12 zilizojengwa na CCT zenye uwezo wa kutunza familia 24 kata ya Miyuji na Nyumba kubwa moja iliyoko kata ya Kilimani Jijini Dodoma. Lengo la ujenzi wa nyumba hizi ni moja ya mikakati ya CCT kujiimarisha kiuchumi. Nyumba hizi zitatumika kwa matumizi ya kibiashara(Kupangisha) hivyo kuongeza pato la Ndani.