More details

Ibada ya Uzinduzi wa nyumba za kitegauchumi CCT Tar 17 Juni 2022

Ibada ya Uzinduzi wa nyumba 12 zilizojengwa na CCT zenye uwezo wa kutunza familia 24 kata ya Miyuji na Nyumba kubwa moja iliyoko kata ya Kilimani Jijini Dodoma. Lengo la ujenzi wa nyumba hizi ni moja ya mikakati ya CCT kujiimarisha kiuchumi. Nyumba hizi zitatumika kwa matumizi ya kibiashara(Kupangisha) hivyo kuongeza pato la Ndani.