Ibada ya Kuweka Wakfu nyumba Mpya za kitegauchumi - CCT Tar 18 Juni 2022 Jijini Dodoma. Nyumba 12 zenye uwezo wa kutunza familia 24 zimejengwa Kata ya Miyuji (Kituo cha mwisho wa Lami Kabla ya Kufika Chuo Kikuu cha Mipango). Nyumba nyingine moja kubwa imejengwa kata ya kilimani (karibu na kituo cha Maua). Lengo ni ifikapo 2025 CCT kupitia kurugenzi ya uwekezaji iwe imejenga nyumba 100, amesema Mkurugenzi wa uwekezaji Adv. Beatrice Dengenesa wakati wa Ibada hiyo.
TUNATOA BIMA ZA: Magari na vyombo vya moto, Nyumba ya makazi, Majanga ya Biashara, Moto, Fedha, Maisha, Mitambo maalumu. Mizigo isafirishwayo
TUNATOA BIMA ZA: Magari na vyombo vya moto, Nyumba ya makazi, Majanga ya Biashara, Moto, Fedha, Maisha, Mitambo maalumu. Mizigo isafirishwayo
Details
INSURANCE AGENCY
TUNATOA BIMA ZA:
Magari na vyombo vya moto,
Nyumba ya makazi,
Majanga ya Biashara,
Moto,
Fedha,
Maisha,
Mitambo maalumu.
Mizigo isafirishwayo