More details

Katibu Mkuu CCT ashiriki Mkutano wa Wachungaji wote wa KKKT ambao unaendelea hapa katika ukumbi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Jijini Dodoma. Ametoa wito tuendeleza kuimarisha umoja wetu wa CCT, kwa kuwa tukiwa wamoja tutakuwa na sauti ya pamoja.