More details

Semina ya kujengewa uwezo kamati ya mahusiana ya dini mbalimbali kwa upande wa wanawake na vijana. Tunu tano muhimu zinazotuunganisha pamoja ni 1. Ucha Mungu 2. Utu wetu 3. Kutambua tofauti zetu na kuziheshimu, kuzithamini na kuvumiliana 4. Kudumisha Haki , Upendo na Amani 5. Kudumisha Uadilifu