CCT

Mafunzo ya ushauri nasaha kwa wakuu wa shule, walimu washauri kutoka shule zilizoko chini ya makanisa wanachama CCT

CCT imetoa mafunzo ya ushauri nasaha kwa wakuu wa shule, walimu washauri kutoka shule zilizoko chini ya makanisa wanachama CCT kutoka Kanda ya Maashariki yenye Mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Zanzibar, Tanga na Morogoro. Mafunzo yamefanyika kwa siku mbili ambapo siku ya kwanza mafunzio yalifanyika kwa walimu wakuu wa shule na Waratibu wa Elimu […]

Mafunzo ya ushauri nasaha kwa wakuu wa shule, walimu washauri kutoka shule zilizoko chini ya makanisa wanachama CCT Read More »

Kambi ya watoto Singida DC ya kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto

Kambi ya watoto Singida DC ya kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto hasa wa kike ambapo jumla ya watoto 60 kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari wamepata mafunzo. Miongoni mwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ambavyo vimebainika na kujadiliwa namna ya kujikinga navyo ni ukeketaji, Ulawiti na vipigo. Mafunzo yametolewa na CCT

Kambi ya watoto Singida DC ya kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto Read More »

Kongamano la ulinzi na Usalama wa mtoto Dodoma Tar 20/Juni 2024

CCT kupitia dawati la wanawake , maendeleo, jinsia na watoto imeendesha Kongamano la ulinzi na Usalama wa mtoto mkoani Dodoma katika viwanja vya nyerere square leo tar 20/Juni 2024. Katika Kongamano hilo Ndugu Urio Ndekirwa ambaye amemwakilisha Katibu Mkuu CCT ameeleza kazi za CCT ikiwemo kupinga ukatili wa kinsia hasa kwa watoto. CCT katika kupinga

Kongamano la ulinzi na Usalama wa mtoto Dodoma Tar 20/Juni 2024 Read More »

Scroll to Top