Katibu Mkuu CCT atembelea Jengo la Kitegauchumi linalojengwa Dodoma

Katibu Mkuu wa CCT, Mchg Can Dkt Moses Matonya amefanya ziara katika Jengo la Kitega Uchumi la CCT Commercial Complex Jijini Dodoma, Katika ziara yake Katibu Mkuu wa CCT amesisitiza dhamira ya kukamilisha ujenzi kwa wakati na kwa ubora unaoakisi maono ya maendeleo ya CCT. Ziara hii imelenga kuhamasisha uwajibikaji na ili mradi huu uwe […]

Katibu Mkuu CCT atembelea Jengo la Kitegauchumi linalojengwa Dodoma Read More »