Utume na Uinjilisti

Utume na Uinjilisti

Maombi ya dunia Kitaifa Mkoani Tabora 2025

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania-CCT Askofu.Dkt.Fredrick Shoo pamoja na Katibu Mkuu wa CCT Mch.Canon.Dkt. Moses Matonya wameshiriki Maombi ya dunia Kitaifa Mkoani Tabora,maombi hayo yameratibiwa na Idara ya Maendeleo ya Wanawake,Watoto na Jinsia -CCT kwa kushirikiana na kamati ya Wanawake CCT Mkoa wa Tabora. Katika maombi hayo Mwenyekiti wa CCT amewapongeza CCT Mkoa wa […]

Maombi ya dunia Kitaifa Mkoani Tabora 2025 Read More »

Kongamano la maombi la wa wanawake CCT 2024

Mwenyekiti wa CCT Mkoa wa Morogoro Baba Askofu Jacob Mameo amefungua Kongamano la maombi la wa wanawake CCT Kitaifa,Kongamano hilo linafanyika katika kituo cha mafunzo ya wanawake Morogoro na kuhudhuriwa na wanawake kutoka kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania. Kongamano hilo limetanguliwa na maandamano yaliyofanyika kutokea eneo la posta mpaka kituo cha mafunzo ya wanawake MWTC

Kongamano la maombi la wa wanawake CCT 2024 Read More »

Scroll to Top