More details

Wajibu wa Kila Kiongozi wa Dini kukemea, kuonya na kukalipia vitendo vya ukatili kwa Watoto

Viongozi wa Kamati ya Dini mbalimbali wamekutana leo katika ukumbi wa Baraka la Maaskofu Katoliki (TEC), KurasiniJijini Dar es Salaam kujadili namna ya kupinga vitendo vya ukatili kwa Watoto. "Ni wajibu wa Kila Kiongozi wa Dini kukemea, kuonya na kukalipia vitendo vya ukatili kwa Watoto"