More details

Mafunzo ya Utetezi kwa wanawake wa dini mbalimbali Tabora Tar 22 Julai 2024

Wanawake ambao ni viongozi wa dini mbalimbali Mkoani Tabora wapata mafunzo kutoka CCT ya kufanya utetezi katika masuala ya haki za binadamu, wanawake, watoto, na mbinu za kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia. Wamehimizwa kuendelea kutoa elimu kwa waumini katika kutetea watu kupata haki zao na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia