More details

Ukatili ni dhambi tuupige vita

Katibu Mkuu CCT Mch Can.Dr. Moses Matonya akifanya ufunguzi wa mdahalo wa siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili wa Kijinsia( 16 days of activism) Leo Tar 8 Disemba 2021 Mdahalo huo umeandaliwa na CCT na kuhusisha viongozi wa dini mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali nchini pamoja na serikali Mdahalo unafanyikia Arusha kwenye Hotel ya Corridor Spring Kauli mbiu ya CCT "Ukatili ni dhambi tuupige vita"