More details

Mafunzo ya Kutengeneza Batiki kwa Vitendo

Vikundi vya wanawake Mkoani Mbeya wakifundishwa kwa vitendo namna ya kutengeneza nguo aina ya Batiki kupitia mradi wa Mwanamke Jasiri unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Norway(Norad). Mafunzo haya yanawajengea uwezo wanawake katika kuendesha shughuli zao za ujariamali kwa ubora na kwa kujiamini