More details

Geita watekeleza sheria mpya ya kusajili upya vikundi vya VICOBA

Geita watekeleza sheria mpya ya kusajili upya vikundi vya VICOBA. Mratibu wa vikundi vya kuweka na kukopa (IR VICOBA) chini ya CCT Bw. Boniface Reiben amesema hadi sasa vikundi 70 vimesajiliwa na kukabidhiwa vyeti toka kwa Afisa maendeleo ya jamii Mji wa Geita kama ambavyo serikali kupitia sheria mpya ya kusajili vikundi upya ilivyoelekeza