More details

Sheria ya huduma ndogo za kifedha ya mwaka 2018 haijatungwa ili kuwakandamiza wajasiliamali

Sheria ya huduma ndogo za kifedha ya mwaka 2018 haijatungwa ili kuwakandamiza wajasiliamali, ila itasaidia kuweka mazingira wezeshi na kuwalinda watu wenye kipato cha chini ili kuweza kujikwamua kiuchumi Godfrey Ngangaji-Mwanasheria CCT wakati akizungumza na wawakilishi wa vikundi vya wajasiliamali wadogowadogo chini ya mradi wa Mwanamke Jasiri mkoa wa Dodoma