More details

Mafunzo mbalimbali ya Kutengeneza/Kuboresha bidhaa

CCT kupitia miradi ya Maendeleo imekuwa ikitoa mafunzo mbalimbali ya Kutengeneza/Kuboresha bidhaa/shughuli za wajasiliamali. Mfano wa bidhaa hizo ni sabuni ambapo wajasiliamali hasa kupitia vikundi wameelimishwa na kuboresha bidhaa zao kutokana na mafunzo ya vitendo yanayotolewa. Unaweza kuwasiliana na waratibu ngazi ya mkoa kupitia mradi wa Mwanamke jasiri kwa ajili ya kupata ushauri juu ya biashara yako hasa katika kuiongezea thamani. Dodoma Elizabeth Ngede 0755219022 Mbeya Faustina Godwin 0755479090 Songwe Leynid Amos 0757563571 Mara Rose Sendeu 0787048511