Mkutano Mkuu wa 32
Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania-CCT leo hii tar 4 Julai (Siku ya pili) umefanyika katika Ukumbi wa CCT Commercial Complex jijini Dodoma. Mkutano huu umeambatana na uchaguzi Mkuu Wa Viongozi Wa Jumuiya hiyo.Mkutano huo umehudhuriwa na wajumbe kutoka Makanisa 12 wanachama wa CCT na vyama vishiriki 14 vya CCT.
Mkutano Mkuu wa 32 Read More »