Maendeleo na Utetezi

Maendeleo na Utetezi

Kazi za ufuatiliaji wa mradi wa Tuwajibike

Kazi za ufuatiliaji wa mradi wa Tuwajibike zikiendelea katika Mikoa ambako mradi unatekelezwa (Kigoma(DC), Dodoma (Bahi), Shinyanga (Kishapu), Tabora(Nzega) na Pwani (Kibiti)). Wanakamati wa MURU wanaeleza namna ambavyo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kuhamasisha wanajamii kushiriki mikutano mbalimbali ya Kijiji, kufuatilia rasilimali za umma kukuza uwazi, uwajibikaji na kuhimiza wanachi kushiriki katika kupanga, kutekeleza, kusimamia […]

Kazi za ufuatiliaji wa mradi wa Tuwajibike Read More »

CCT kupitia mradi wa Tuwajibike imetoa mafunzo ya MURU Kwa viongozi wa kamati za ufuatiliaji wa rasilimali za Umma

CCT kupitia mradi wa Tuwajibike imetoa mafunzo ya MURU Kwa viongozi wa kamati ya uhamasishaji wa maendeleo na ufuatiliaji wa rasilimali za umma kwa Mikoa ambako mradi unatekelezwa. MURU ni Mfumo wa Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma unaojulikana kwa lugha ya Kiingereza kama Public Expenditure Tracking Systems or Surveys (PETS) ambao ni dhana ya ufuatiliaji

CCT kupitia mradi wa Tuwajibike imetoa mafunzo ya MURU Kwa viongozi wa kamati za ufuatiliaji wa rasilimali za Umma Read More »

KIKUNDI CHA KUWEKA NA KUKOPA CHAFIKA SHULENI KUTOA MSAADA

Kikundi cha Amani kilianza mwaka 2010 kikiwa na wanachama 30 hadi sasa kina wanachama hai 25Anasimulia mwenyekiti wa kikundi hicho Marry Chacha oringa, Tulianza kuweka na kukopa, tulikuwa na masha duni, tulipopata elimu ya vikoba, tulianza kuweka na kukopa kidogo dogo kupitia biashara zetu ndogondogo.Kuanzia mwaka 2022 tulianza kuona mabadliko baada ya kuanzisha mradi wa

KIKUNDI CHA KUWEKA NA KUKOPA CHAFIKA SHULENI KUTOA MSAADA Read More »

Kikao ni cha tamthimini ya kazi zilizotekelezwa na viongozi wa dini kwa mwaka 2024

Viongozi wa Kamati ya Dini Mbalimbali Wilayani Kiteto na Simanjiro wakiongozwa na Mch. David Kalinga Afisa Programu wa mahusiano ya Dini Mbalimbali-CCT wamekutana na kufanya kikao kifupi na Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhe.Remidius Mwema (ofisini kwake) na Mkuu wa Wilaya Simanjiro Mhe.Fakii Raphael Lulandala(ofisini kwake) kama inavyoonekana katika picha. Kikao ni cha tamthimini ya

Kikao ni cha tamthimini ya kazi zilizotekelezwa na viongozi wa dini kwa mwaka 2024 Read More »

Mafunzo ya ushauri nasaha kwa wakuu wa shule, walimu washauri kutoka shule zilizoko chini ya makanisa wanachama CCT

CCT imetoa mafunzo ya ushauri nasaha kwa wakuu wa shule, walimu washauri kutoka shule zilizoko chini ya makanisa wanachama CCT kutoka Kanda ya Maashariki yenye Mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Zanzibar, Tanga na Morogoro. Mafunzo yamefanyika kwa siku mbili ambapo siku ya kwanza mafunzio yalifanyika kwa walimu wakuu wa shule na Waratibu wa Elimu

Mafunzo ya ushauri nasaha kwa wakuu wa shule, walimu washauri kutoka shule zilizoko chini ya makanisa wanachama CCT Read More »

Scroll to Top