More details

msaada wa iCHF kwa kaya 63 Kijiji cha Ikowa

Familia ya Mchungaji Canon Moses Matonya wamefanikiwa kutoa msaada kwa kaya 63 Kijiji cha Ikowa Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma kwa kuwaunganisha na Bima ya afya ya CHF iliyoboreshwa (iCHF). Kaya 63 kila moja ikiwa na wanufaika 6 na jumla ya wanufaika 378 wameunganishwa na Mpango huu ili kuwawezesha huduma za matibabu.